Matukio : Balozi Ombeni Sefue Afungua Semina Elekezi ya Siku Moja ya Makatibu wakuu na Manaibu katibu wakuu Ikulu - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 3 January 2016

Matukio : Balozi Ombeni Sefue Afungua Semina Elekezi ya Siku Moja ya Makatibu wakuu na Manaibu katibu wakuu Ikulu


 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na Makatibu Wakuu pamoja na Manaibu Katibu Wakuu wakati akifungua Semina Elekezi kwa Makatibu hao Ikulu jijini Dar es Salaam January 2, 2015.
 Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Ufunguzi iliyokuwa ikitolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika semina elekezi ya siku moja ikulu jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment