Miss
Tanzania USA Aeesha Kamara akipata picha ya upendeleo alipofika kwenye
mkesha wa mwka mpya ulioandaliwa na Jumuiya ya Watanzania DMV siku ya
Alhamisi Desemba 31, 2016 Lanham, Maryalnd nchini Marekani. PICHA NA
KILIMANJARO STUDIO
Asha Hariz Kushoto) pamoja na mama wa mitindo Asya Idarous
Khamsini wakipata picha ya pamoja na Miss Tanzania USA Pageant
alipohudhuria mkesha wa mwaka mpya DMV.
Aeesha Kamara katika picha ya pamoja na msanii Patience Ibembo wa
Congo mwenye makzi yake Marekani kwa sasa ambaye zamani alikuamcheza
show wa Koffi Olomide.
Kutoka kushoto ni Patience Ibembo, Aeesha Kamara, Mama Winny Casey
Mratibu wa Miss Tanzania USA na Rukia Malipula ambaye ni mama mzazi wa
Aeesha Kamara.
Aeesha Kamara akitangaza kalenda ya 2016 iliyotengenezwa na Miss
Africa USA na pichga yake kutumika kwenye kalenda hiyo baada ya
kuwashinda mamiss wengine wa Africa shindano lililofanyika New York
Novemba 2015.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment