Rais wa Zanzibar Mhe. Dk. Mohamed Shein Afanya Mazungumzo Leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Rais Dk. John Magufuli Ikulu Jijini Dar, na Kuzungumza mengi kuhusu mchakato wa siasa visiwani Zanzibar.
Dk. Shein pia amesema wameunda kamati ya watu Sita , wakiwemo Marais wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Marais wastaafu wa Zanzibar.
No comments:
Post a Comment