Wanamadrasa
wakipiga dufu kukaribisha wageni na Viongozi wakati wa sherehe za
Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana
katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja ambayo hufanyika kila
mwaka.
Makamo
wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt.Mohammed Gharib
Bilali akisalimiana na Sheikh Kassim Haidar Jabir mjumbe wa Kamati ya
Maandalizi alipowasili katika sherehe za Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa
Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara
Suleiman Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na viongozi mbali mbali alipowasili katika sherehe za
Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana
katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Mwanasheria Mkuu Zanzibar Sheikh Said Hassan Said
pamoja na viongozi mbali mbali alipowasili katika sherehe za Maulidi
Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika
uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif
Sharif Hamad alipowasili katika sherehe za Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa
Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara
Suleiman Mjini Unguja
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. Mohamed Gharib Bilal alipowasili katika sherehe za Maulidi
Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika
uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (wa pili kulia) Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji Khamis,
Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad (kushoto)
na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali wakiwa
katika sherehe za Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W)
yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (wa pili kulia) Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji Khamis,
Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad (kushoto)
na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali pamoja na
Viongozi wengine wakiwa katika sherehe za Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa
Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara
Suleiman Mjini Unguja.
Mke wa
Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) akiangalia ratiba ya
Maulidi ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika
Viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja akiwa Viongozi mbali mbali na
wananchi.
Baadhi
ya Akina Mama wa Kiisalmu wakiwa katika sherehe za Maulidi Makuu ya
kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa
Maisara Suleiman Mjini Unguja ambayo hufanyika kila mwaka.
Wanafunzi
wa Madrasa mbali mbali za Zanzibar wakiwa katika sherehe za Maulidi
Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika
uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein.
Kadhi
Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji Khamis alipokuwa akitoa historia
fupi wakati wa ufunguzi wa sherehe za
Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana
katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja,ambapo Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili
kulia) akiwa ndio mgeni rasmi katika sherehe hiyo.
Ustadh
Juma Seif Said Hamad kutoka Mkoa wa Kaskazini Unguja akisoma Qur'aan
Tukufu Surah Luqman Aya 33hadi 34 za ufunguzi wa Maulidi Makuu ya
kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa
Maisara Suleiman Mjini Unguja.
Wanafunzi
wa Madrasat Nurul Islamia ya Jang'ombe -Mkoa wa Mjini wakisoma
Qasweeda baada ya mlango wa kwanza wa sherehe za Maulidi Makuu ya
kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa
Maisara Suleiman Mjini Unguja.
Ustadh
Rashid Hamadi Bakari kutoka Muungoni Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini
Unguja akisoma mlango wa kwanza wa Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume
Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara Suleiman
Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) akitiliwa marashi pamoja na Viongozi mbali mbali wakati
wa kumswalia Mtume katika sherehe za Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwake
Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara
Suleiman Mjini Unguja.
Mke wa
Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) pamoja na Wake wa
Viongozimbali mbali wakisimama kumswalia Mtume wakati wa Maulidi Makuu
ya kuzaliwa kwake Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika
viwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja.Picha na Ikulu, Zanzibar.
No comments:
Post a Comment