Education : Mdau wa Blogu yetu Martha Florence Ala Nondozz katika Chuo Kikuu cha Mzumbe Dar Campus - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 20 December 2015

Education : Mdau wa Blogu yetu Martha Florence Ala Nondozz katika Chuo Kikuu cha Mzumbe Dar Campus

 Mdau wa Blogu ya Wazalendo 25 Blog na Arusha 255 Blog Martha Florence Mrema Ala Nondozz ya MBA (Corporate Management ) katika Chuo Kikuu cha Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam, Mahafali yaliyofanyika katika Ukumbgi wa Mikutano wa  Mwalimu Nyerere Convention Centre.
Mdau Martha Florence akiwa na Baba yake Mzazi Mzee Florence Mrema

No comments:

Post a Comment