
Mkurugenzi Mtendaji wa tofuti ya ajira ya Owbaz, Barbara Butter
(kushoto) akimpa maua balozi mpya wa Owbaz, Abernego Damian Nyamoga
‘Belle 9’ katika hafla ya uzinduzi rasmi wa tovuti hiyo jijini Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki. Wa pili kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa
Cosmos, Muhammad Owais Pardesi na Mkurugenzi Rasilimali Watu wa kampuni
ya bima ya Aris, Paritosh Bajaria.
Mkurugenzi
Mtendaji wa tofuti ya ajira ya Owbaz, Barbara Butter (kushoto)
akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa tovuti hiyo jijini Dar es Salaam
mwishoni mwa wiki. Kushoto kwake ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Cosmos,
Muhammad Owais Pardesi, balozi wa Owbaz, msanii wa muziki wa kizazi
kipya Abernego Damian Nyamoga ‘Belle 9’ na Mkurugenzi Rasilimali Watu
wa kampuni ya bima ya Aris, Paritosh Bajaria.
Afisa
Mtendaji Mkuu wa Cosmos, na mwanzilishi wa tovuti mpya ya Owbaz,
Muhammad Owais Pardes (kushoto) akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa
tovuti hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya, Abernego Damian Nyamoga ‘Belle 9’ (wa tano
kushoto) ambaye ni balozi wa tovuti ya Owbaz, akipozi kwa picha pamoja
na baadhi ya wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa tovuti hiyo
jijini Dar esSalaam mwa wiki.
Baadhi
ya wageni waalikwa wakipiga picha ya kumbukumbu na msanii wa muziki wa
kizazi kipya, Abernego Damian Nyamoga ‘Belle 9’katika hafla ya uzinduzi
wa tovuti hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
No comments:
Post a Comment