Matukio : Rais Kikwete Akutana na Maalim Shariff Hamad Ikulu, Jijini Dar es Salaam Leo - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 4 November 2015

Matukio : Rais Kikwete Akutana na Maalim Shariff Hamad Ikulu, Jijini Dar es Salaam Leo

 Rais Jakaya Kikwete Akipiga picha ya Pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Shariff Hamad mara Baada ya Mazungumzo kuhusu Siasa za Visiwani Humo, IKULU, Jijini Dar es Salaam Leo
Rais Jakaya Kikwete Wakizungumza Machache na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad Kuhusu Siasa za Visiwani Humo, IKULU, Jijini Dar es Salaam Leo. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment