Matukio : Kiongozi Mkuu wa China Atembelea Makumbusho ya Taifa Jijini Dar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 8 November 2015

Matukio : Kiongozi Mkuu wa China Atembelea Makumbusho ya Taifa Jijini Dar

Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala cha Nchini China Mh ZHANG PING akiwa kwenye ukumbi wa Historia wa Makumbusho na Nyumba ya Utamani Dar es Salaam. (picha na Sixmund Begashe)
Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala cha Nchini China Mh ZHANG PING akiwa kwenye ukumbi wa Historia wa Makumbusho na Nyumba ya Utamani Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala cha Nchini China Mh ZHANG PING katikati akiwa kwenye ukumbi wa Sanaa wa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala cha Nchini China Mh ZHANG PING watatu kushoto akiwa kwenye chumba mahususi akipewa maelezo na Dr Amandus Kweka ya fuvu la Zinjanthropus lililopo Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Makumbusho ya Taifa Prof Audax Mabula wakijadili jambo na Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala cha Nchini China Mh ZHANG PING.
Mkurugenzi wa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es salaam Bw Achiles Bufure akiagana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala cha Nchini China Mh ZHANG PING.

No comments:

Post a Comment