Matukio/ Maisha : Kimlola A. Kimlola" Nelly Afunga Ndoa na Scholastica L. Lazaro - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


5 Oct 2015

Matukio/ Maisha : Kimlola A. Kimlola" Nelly Afunga Ndoa na Scholastica L. Lazaro


Bwana na Bibi Kimlola wakiingia ukumbini yaani ilikuwa ni Furaha kwa kwenda mbele  

Bwana na Bibi Kimlola wakiwasalimia ndugu, jamaa na marafiki waliofika kwenye ukumbi huo wakati wa sherehe yaoiliyofanyika jana Jumapili Oktoba 04, 2015
Bwana na Bibi Kimlola wakiwa kwenye picha ya pamoja na Kamati ya maandalizi ya Harusi hiyo
Bwana na Bibi Kimlola wakinyweshana Shampeni.

Bwana na Bibi Kimlola wakikata keki
Bwana na Bibi Kimlola wakilishana keki
Bibi harusi Scholastica L. Lazaro akikabidhi keki kwa wazazi wa Bwana harusi
Bwana harusi Kimlola A. Kimlola "Nelly” akikabidhi keki kwa familia ya bibi harusi.
Bwana na Bibi Kimlola wakikabidhi keki kwa wanakamati
Bwana na Bibi Kimlola  wakifungua mziki
Bwana na Bibi Kimlola wakicheza kwaito pamoja na ndugu, jamaa na marafiki waliofika kwenye harusi hiyo

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad