Habari zilizofikia hivi punde, zinasema kuwa aliyekuwa Waziri
was Viwanda na Biashara, Mhe. Abdallah Kigoda, amefariki dunia jioni ya Leo
huko nchini India alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
NAIBU WAZIRI SILLO ALITAKA JESHI LA POLISI KUZINGATIA HAKI NA WELEDI
-
NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Daniel Sillo amelitaka Jeshi la
Polisi kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa kuzingatia Haki, weledi na
uadili...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment