Matukio / Kimataifa : Mhe. Chikawe Atembelewa na Ujumbe wa Kampuni ya Poly Tech. Inc ya China - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Saturday, 19 September 2015

demo-image

Matukio / Kimataifa : Mhe. Chikawe Atembelewa na Ujumbe wa Kampuni ya Poly Tech. Inc ya China

PICHA+NAMBA+MOJA  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (katikati) akiongea na ujumbe wa Kampuni ya Poly Technologies, Inc. ya China (haupo pichani) uliomtembelea ofisini kwake. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil na na kulia ni Katibu wa Waziri, Nelson Kaminyoge.  PICHA+NAMBA+MBILI
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe akimkaribisha Makamu wa Rais wa Kampuni ya Poly Technologies, Inc. ya China Bw. Huang Geming (mwenye tai) aliyeongoza ujumbe wa Kampuni yake kumtembelea Waziri ofisini kwake.
PICHA+NAMBA+TATU
Ujumbe wa Kampuni ya Poly Technologies, Inc. ya China, ukiongozwa na Makamu wa Rais wa Kampuni hiyo Bw. Huang Geming (wa tatu toka kulia) katika mazungumzo ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (hayupo pichani) ulipomtembelea Waziri huyo ofisini kwake.
PICHA+NAMBA+NNE
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (katikati) katika picha ya pamoja na ujumbe wa Kampuni ya Poly Technologies, Inc. ya China uliomtembelea ofisini kwake.  Wa pili kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil.

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *