Matukio : Dk. Gharib Bilal Azungumza na Baadhi ya Mabalozi - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 19 September 2015

Matukio : Dk. Gharib Bilal Azungumza na Baadhi ya Mabalozi

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Mhe. Jasem Najem wakati Balozi huyo alipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam  Septemba 18, 2015.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe. Katarina Rangnitt wakati Balozi huyo alipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam Septemba 18, 2015, kwa ajili ya kujitambulisha rasmi
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Finland Nchini Tanzania Mhe. Pekka Hukka wakati Balozi huyo alipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam  Septemba 18, 2015 kwa ajili ya kujitambulisha rasmi.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Finland Nchini Tanzania Mhe. Pekka Hukka wakati Balozi huyo alipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam Septemba 18, 2015 kwa ajili ya kujitambulisha rasmi. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Balozi wa Finland Nchini Tanzania Mhe. Pekka Hukka Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam Septemba 18, 2015. 
(Picha na OMR) 

No comments:

Post a Comment