Kampeni za UKAWA : Lowassa Ahutubia Umati wa Watu waliohudhuria Mkutano wake , Lindi - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Friday, 25 September 2015

demo-image

Kampeni za UKAWA : Lowassa Ahutubia Umati wa Watu waliohudhuria Mkutano wake , Lindi

OTH_0289
OTH_0338
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia Wananchi, katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Pilipili,Lindi Mjini, Septemba 23, 2015.
OTH_0058
OTH_0386
Umati wa Wananchi wa Lindi Mjini, wakiwa katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Pilipili, Mkoani Lindi Septemba 23, 2015.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI, LINDI.
OTH_0419
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Lindi Mjini kwa tiketi ya Chama cha Wananchi CUF kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Salum Barwany, akimueleza Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, changamoto mbalimbali za wananchi wa Lindi, katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Pilipili,Lindi Mjini, Septemba 23, 2015.
OTH_0437
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Lindi Mjini kwa tiketi ya Chama cha Wananchi CUF kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Salum Barwany, katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Pilipili,Lindi Mjini, Septemba 23, 2015.
OTH_0099
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Lindi Mjini kwa tiketi ya Chama cha Wananchi CUF kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Salum Barwany, akiwahutubia Wananchi wa Jimbo lake hilo, katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Pilipili,Lindi Mjini, Septemba 23, 2015.
OTH_0144
OTH_0149
Sehemu ya Wananchi wa Jimbo la Lindi Mjini, wakimshangilia Mgombea Ubunge wao, Salum Barwany, alipokuwa akihutubia na kukonga nyoyo zao kwa kugusa moja kwa moja changamoto zinazowakabili na namna watakavyoweza kuzitatua iwapo watapata ridhaa ya uongozi.
OTH_0191
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akifurahi jambo na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Lindi Mjini kwa tiketi ya Chama cha Wananchi CUF kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Salum Barwany.
OTH_0198
Uwanja wa Pilipili ulikuwa ni shangwe tupu, muda wote wa Mkutano.
OTH_0221
Waziri Mkuu wa zamani, Mh. Fredrick Sumaye, akiwahutubia wananchi wa Jimbo la Lindi Mjini, kabla ya kumkaribisha Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Pilipili,Lindi Mjini, leo Septemba 23, 2015.
OTH_0239
OTH_0245
OTH_0068
OTH_0075
OTH_0249
OTH_0253
OTH_0537
Sehemu ya Wananchi wa Jimbo la Lindi Mjini, wakiwa katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Pilipili,Lindi Mjini, Septemba 23, 2015.
OTH_8936
OTH_8941
OTH_8953
OTH_8956
OTH_8962
OTH_8967
OTH_8987
OTH_8992
OTH_8999
Wananchi wa Jimbo la Mtama, Mkoani Lindi wakionyesha furaha yao kwa ujio wa Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Soko la Majengo,  Septemba 23, 2015.
OTH_9014
OTH_9017
Vinaja wa Jimbo la Mtama Mkoani Lindi wakiishangilia Chopa anayoitumia Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, kawati ikiwasili kwenye eneo la Mkutano uliofanyika kwenye Uwanja wa Soko la Majengo, leo Septemba 23, 2015.
OTH_9103
Pipozzzzzzz........ Pawaaaaa......
OTH_9122
OTH_9175
OTH_9245
OTH_9259
OTH_9269
OTH_9313
OTH_9356
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia Wananchi wa Jimbo la Mtama, Mkoani Lindi, katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Soko la Majengo, Septemba 23, 2015.
OTH_9339
OTH_9350
OTH_9479
OTH_9480
OTH_9483
OTH_9500
OTH_9516
Wananchi wa Jimbo la Mtama, Mkoani Lindi wakifatilia Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Soko la Majengo, Septemba 23, 2015.
OTH_9562
kadi za wanancha wa CCM zaidi ya elfu tatu (3000) wa Jimbo la Mtama, Mkoani Lindi walioamua kuunga mkono mabadiliko ya UKAWA, zikiwekwa kwenye kiroba baada ya kukabidhiwa.
OTH_9577
OTH_9625
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Waziri Mkuu wa zamani, Mh. Fredrick Sumaye wakionyesha kwa wananchi wa Jimbo la Mtama, Mkoani Lindi, lundo la kadi za wanancha wa CCM zaidi ya elfu tatu (3000) walioamua kuunga mkono mabadiliko ya UKAWA, wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo, uliofanyika kwenye Uwanja wa Soko la Majengo, Mtama Septemba 23, 2015.
OTH_9677
OTH_9691
OTH_9712
OTH_9724
OTH_9739
OTH_9766
OTH_9853
OTH_9982

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *