Usalama Barabarani : Mfuko wa LAPF Watoa Shilingi Mitilioni 3 Kusaidia wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani, Jijini Dar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 26 August 2015

Usalama Barabarani : Mfuko wa LAPF Watoa Shilingi Mitilioni 3 Kusaidia wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani, Jijini Dar

 Meneja Masoko wa Mfuko wa  LAPF Kanda ya Mashariki, Yessaya Mwakifulefule (wa pili kulia)  akimkabidhi Katibu wa kamati ya Usalama barabarani kanda maalum,ACP Peter Sima (kushoto), hundi ya thamani ya million tatu  walizotoa kwa ajili yakusaidia vifaa kwa ajili ya wiki ya nenda kwa usalama wanaishuhudia ni mwenyekiti wa kamati hiyo Elifadhili Mgonja (wapili kushoto) na Ofisa Masoko wa Mfuko huo, Rehema  Mkamba.
 Katibu wa Kamati ya Usalama Barabarani Kanda Maalum ya Dar es Salaam Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP),  Peter Sima, akizungumza katika mkutano huo.
 Wadau mbalimbali wakiwa kwenye hafla hiyo.
Meneja Masoko wa Mfuko wa  LAPF Kanda ya Mashariki, Yessaya Mwakifulefule, akizungumza wakati wa kutoa mchango huo. 

No comments:

Post a Comment