Naibu
Waziri wa Maendeleo ya Jamii , Jinsia na Watoto Mhe.Dkt Pindi Chana
(Mb) akiangalia baadhi ya machapisho yanayohusiana mbinu za malezi na
makuzi ya watoto kabla ya kufungua semina ya siku mbili ya matokeo ya
utafiti wa malezi na makuzi ya familia nchini iliyofanyika Hotel Protea
Courtyard, jijini Dar es salaam.
Naibu
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto (Mhe. Dkt Pindi Chana
(Mb) akifungua rasmi Kongamano la siku mbili la wadau wa familia
wanaokutana kupokea matokeo ya utafiti wa malezi na makuzi ya watoto
katika familia lililofanyika hotel Protea jijini Dar es salaam, tarehe
26/8/2015.
Kauli mbiu ni ‘FAMILI BORA TAIFA IMARA AULI MBIU’.
Kulia;
Naibu Waziri Mhe.Dkt Pindi Chana (Mb)akisikiliza maelezo ya utangulizi
ya Kongamano la Utafiti wa Malezi na Makuzi ya Watoto katika Familia
(kushoto) ni Kaimu Katibu Mkuu wa wizara hiyo Bibi Nuru Millao
aliyeongozana na Mhe. Naibu Waziri katika ufunguzi wa kongamano la
kitaifa la familia katika hotel ya Protea, jijini Dar es salaam tarehe
26/8/2015
Baadhi
ya washiriki wa Kongamano la Utafiti wa Malezi na Makuzi ya Watoto
katika Familia wakifuatilia kwa makini hotuba ya ufunguzi iliyotolewa na
Mhe. Dkt. Pindi Chana (MB hayupo pichani) katika Hotel ya Protea Courty
yard jijini Dar es salaam tarehe 26/08/2015.
No comments:
Post a Comment