![]() |
| Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akizungumza wakati wa fainali hiyo kaba ya kukabidhi zawadi kwa mabingwa wa mashindano hayo. |
![]() |
| Mmoja wa waratibu wa mashindano ya Kuwania kombe la Mbatia,Danielson Shayo akisoma risala ya mashindano hayo wakati wa fainali hizo. |
![]() |
| Mh Mbatia akikabidhi zawadi ya kikombe kwa mabingwa wa mashindano hayo timu ya Himo fc,iliyochomoza na ushindi dhidi ya Wazalendo fc wa bao 2 kwa 0. |
![]() |
| Mh Mbatia akikabidhi kitita cha fedha kiasi cha sh Milioni 2 kwa mabingwa hao. |
![]() |
| Mh Mbatia akikabidhi zawadi ya mipira mitatu kwa mabingwa hao. |
![]() |
| Mh Mbati akikabidhi zawadi ya viatu vya mpira kwa mfungaji bora. |


![]() |
| Mh Mbatia akikabidhi vyeti kwa waratibu wa mashindano hayo . |
![]() |
| Mh Mbatia akikabidhi zawadi kwa msaidizi wake ,Hamisi Athumani kwa kufanikisha mashindano hayo. |
![]() |
| Waratibu wa mashindano ya Mbatia Cup wakiwa katika pcha ya pamoja na Mh Mbatia. |



![]() |
| Kikundi cha sarakasi kikionesha umahiri katika kucheza sarakasi katika fainali hizo. Na Dixon Busagaga wa Kanda ya Kaskazini. |










No comments:
Post a Comment