Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Paul
Makonda alipowasili katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam
ambako Wasani wa fani mbalimbali waliandaa hafla rasmi ya kumuaga usiku
wa Alhamisi Agosti 6, 2015

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM
Mhe. John Pombe Magufuli alipowasili katika ukumbi wa Mlimani City
Jijini Dar es salaam ambako Wasani wa fani mbalimbali waliandaa hafla
rasmi ya kumuaga usiku wa Alhamisi Agosti 6, 2015

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mhe January Makamba alipowasili
katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambako Wasani wa
fani mbalimbali waliandaa hafla rasmi ya kumuaga usiku wa Alhamisi
Agosti 6, 2015

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Ruge Mutahaba, mratibu mkuu wa hafla
alipowasili katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambako
Wasani wa fani mbalimbali waliandaa hafla rasmi ya kumuaga usiku wa
Alhamisi Agosti 6, 2015

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na wasanii alipowasili
katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambako Wasani wa
fani mbalimbali waliandaa hafla rasmi ya kumuaga usiku wa Alhamisi
Agosti 6, 2015

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na msanii na kiongozi wa bendi Mapacha
watatu Jose Mara alipowasili katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar
es salaam ambako Wasani wa fani mbalimbali waliandaa hafla rasmi ya
kumuaga usiku wa Alhamisi Agosti 6, 2015

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mona Lisa mmoja wa wasanii walioratibu
hafla alipowasili katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam
ambako Wasani wa fani mbalimbali waliandaa hafla rasmi ya kumuaga usiku
wa Alhamisi Agosti 6, 2015

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na msanii JB alipowasili katika ukumbi
wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambako Wasani wa fani mbalimbali
waliandaa hafla rasmi ya kumuaga usiku wa Alhamisi Agosti 6, 2015.
Kushoto kwa JB ni Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Mhe. John Pombe
Magufuli

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipewa maelezo ya hafla itavyokuwa baada ya
kuwasili katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambako
Wasani wa fani mbalimbali waliandaa hafla rasmi ya kumuaga usiku wa
Alhamisi Agosti 6, 2015

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na rasmi na Wasanii wa fani mbalimbali
katika hafla rasmi ya kumuaga usiku wa Alhamisi Agosti 6, 2015

Wasanii wa fani mbalimbali wakimkaribisha JK katika hafla rasmi ya kumuaga usiku wa Alhamisi Agosti 6, 2015

JK
akipata picha na Mgombea Ubunge Moshi Mjini Davies Mosha na mwendesha
talk show Mboni Masimba kwenye hafla ya Wasanii wa fani mbalimbali ya
kumuaga usiku wa Alhamisi Agosti 6, 2015

JK akisalimiana na msani Cassim Mganga

Ommy Dimples akipata selfie na JK

Wasanii wakipata selfie na JK

Kila msanii aliomba selfie na JK

selfie

JK akipata selfie toka kwa Salma Jabir na Madame Rita

Meza ya Mzee Yusuf na mkewe na wadau wakubwa wa muziki nchini

Meza ya Mzee Walter Bgoya ya familia yake

Meza ya Jose Mara na Kelvin Twissa

Selfie zikiendelea

JK na wakongwe Nyoshi el Sadat na Komando Hamza Kalala

Kila kona selfie

JK akiendelea kusalimiana na wadau wa sanaa

JK akipeana mikono na Joh Makini

Selfie zimenoga meza ya kina Adam Mchomvu na Joh Makini

Adam Mchomvu akitoa special thanks kwa Prezidaa

JK akimsalimia Nikki wa Pili

Meza ya Fina Mango

Jose Mara akinogesha shughuli. Huyu jamaa noma

Diamond akitoa shukrani kwa niaba ya wasanii wenzie

Jose Mara jukwaani katika Big Screen

JK na King Majuto

JK akiongea na King Majuto na Mzee Chilo

JK akiwa na Bi Shakila Saidi

Steve Nyerere akiwa kavamia meza kuu

Steve Nyerere akiosha nyota

Diamond akisalimia meza Kuu

Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na mwimbaji nyota Patricia Hilary

Mshindi wa Big Brother Africa Idriss Sultan akisalimia meza kuu

Mshindi wa Big Brother Africa Idriss Sultan akisalimiana na Dkt Magufuli

Mshindi wa Big Brother Africa Idriss Sultan akificha uso

Mwanamuziki nyota Ali Kiba akitoa shukrani zake kwa JK

Vanessa Mdee akiwa jukwaani

Meza Kuu

Dkt Magufuli na Nape Nnauye wakifanya mambo jukwaani

JK akifurahi na wasanii

JK akipongezwa na King Majuto kwa kusakata rhumba

JK akipompongeza Dkt Magufuli kwa kupiga tumba kwa ustadi mkubwa

JK akisalimiana na mwigizaji nguli Ray Kigosi

Dkt Magufuli akisalimiana na Bashe

JK na msanii wa Hip Hop mkongwe Fid Q

JK akicheza na Vanessa Mdee

Wasanii wakongwe wakiserebuka

JK akifurahi na wasanii

Furaha na vicheko vilitawala

JK akisalimiana na Bushoke

Dkt Magufuli akisalimiana na Bushoke

MC Richie Mtambalike alinogesha vilivyo hafla hii

Meza kuu wakishangilia baada ya JK kutangazwa Shujaa wa wasanii

Nikki wa pili akionesha zawadi ya picha waliyoandaa wasanii

Nikki wa pili akionesha meza kuu zawadi ya picha waliyoandaa wasanii

Nikki wa pili akimkabidhi JK zawadi ya picha waliyoandaa wasanii

Nikki
wa pili akimkabidhi JK zawadi ya picha waliyoandaa wasanii huku Fid Q
akimuonesha majina ya wasanii wote yaliyotengeneza mosaic ya picha hiyo

Nikki wa pili akimkabidhi JK zawadi ya picha waliyoandaa wasanii

Dkt Magufuli akimpongeza Nikki wa Pili

JK akiongea na wasanii

Wasanii wakimsikiliza JK

Wasanii wakimsikiliza JK

Wasanii na wadau wakimsikiliza JK

Wasanii wakimsikiliza JK

Wasanii wakimsikiliza JK

Wasanii wakimpongeza JK

Wasanii wakimpongeza JK

Wasanii wakimpongeza JK

Wasanii wakimpongeza JK

JK akiendelea kuongea

Wasanii wakimpongeza JK

JK akipongezwa na Mwana FA kwa hotuba tamu

JK akijumuika na wasanii kucheza muziki
No comments:
Post a Comment