Mgeni
Rasmi Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma Ndg. Rehema Madenge (kulia)
akipatiwa maelezo ya chakula bora kwa wakina mama wakati wakati wa
sherehe za uzinduzi wa Maadhimisho ya 23 ya wiki ya unyonyeshaji maziwa
ya mama kitaifa zilizofanyika leo kwenye kijiji cha Nkwenda Wilayani
Chamwino Mkoani Dodoma.
BI.
Selina Mussa akionesha namna bora ya kumnyonyesha mtoto wake Brighton
Anderson (miezi mitano) kama moja ya kutoa elimu kwa wakina mama
waliofika kwenye sherehe za uzinduzi wa Maadhimisho ya 23 ya wiki ya
unyonyeshaji maziwa ya mama kitaifa zilizofanyika leo kwenye kijiji cha
Nkwenda Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma.
Nahodha
wa timu ya mpira wa miguu ya small boys kutoka kijiji cha Nhinhi
Chamwino Adson Amos akipokea zawadi ya Jezi kutoka kwa mgeni rasmi baada
ya timu yake kuibuka mshindi kwenye mashindano ya uzinduzi wa
Maadhimisho ya 23 ya wiki ya unyonyeshaji maziwa ya mama kitaifa
yaliyofanyika leo kwenye kijiji cha Nkwenda Wilayani Chamwino Mkoani
Dodoma.
Mwakilishi
wa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ambaye ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma
Ndg. Rehema Madenge akiwasilisha hotuba ya uzinduzi wa Maadhimisho ya 23
ya wiki ya unyonyeshaji maziwa ya mama kitaifa yaliyofanyika leo kwenye
kijiji cha Nkwenda Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma.
Viongozi
wa Mkoa wa Dodoma na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wakiwa kwenye
picha ya pamoja na baadhi ya watoto wenye afya bora walionyonyeshwa
maziwa ya mama pekee bila kuchanganyiwa chakula kingine hadi
walipofikisha umri wa miezi sita wakati wa sherehe za uzinduzi wa
Maadhimisho ya 23 ya wiki ya unyonyeshaji maziwa ya mama kitaifa
zilizofanyika leo kwenye kijiji cha Nkwenda Wilayani Chamwino Mkoani
Dodoma.
Wanafunzi
wa shule ya msingi Nkwenda wakiserebuka nyimbo za uhamasishaji wakati
wa sherehe za uzinduzi wa Maadhimisho ya 23 ya wiki ya unyonyeshaji
maziwa ya mama kitaifa zilizofanyika leo kwenye kijiji cha Nkwenda
Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma.
Baadhi
ya wananchi waliohudhuria sherehe za Uzinduzi wa maadhimisho ya 23 ya
wiki ya unyonyeshaji maziwa ya mama kitaifa uliofanyika leo kwenye
kijiji cha Nkwenda Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma.
No comments:
Post a Comment