Maisha /Burudani :Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Bonny Mwaitege Azindua Albamu Zake Tatu kwa Mpigo, Jijini Dar - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


3 Aug 2015

Maisha /Burudani :Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Bonny Mwaitege Azindua Albamu Zake Tatu kwa Mpigo, Jijini Dar

????????????????????????????????????
Askofu na Dokta Mwakibolwa wa EAGT pamoja, Askofu Danstan Maboya wa CAG Tanzania na maaskofu wenzake wakiombea albam hizo kabla ya kuzizindua rasmi kushoto ni Alex Msama Mkurugenzi wa Kamuni ya Msama Promotion.
????????????????????????????????????
Askofu na Dokta Mwakibolwa wa EAGT akizindua rasmi albam hizo, Kulia ni Askofu Danstan Maboya wa CAG Tanzania,  kushoto Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama.
????????????????????????????????????
Maaskofu na wachungaji wakiwa wameshikilia albam zao mara baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion.

????????????????????????????????????
Baadhi ya maaskofu na wachungaji waliohudhuria katika uzinduzi huo wakifuatilia wakati mwimbaji huyo akiimba jukwaani.
????????????????????????????????????
Mwimbaji nguli wa muziki wa injili Bonny Mwaitege akiimba katika uzinduzi wa albam zake kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam jana, uzinduzi ambao ulihudhuriwa na maelefu ya wapenzi wa muziki wa ijini akishirikiana na waimbaji mbalimbali wa muziki huo ikiwa ni pamoja na baadhi ya kwaya kutoka katika baadhi ya makanisa ya jijini Dar es salaam, Bonny Mwaitege alikonga nyoyo za mashabiki wake kwa ikwango kikubwa huku akiwa amevalia vazi la Kinigeria wakati akiwa jukwaani, wapenzi wa muziki waliohudhuria katika uzinduzi huo walijikuta kila mmoja akijitikisa pale alipo kutokana na kuvutiwa na nyimbo za mwimbaji huyo kutoka mkoani mbeya
????????????????????????????????????????????????????????????????????????
Baadhi ya wapenzi wa muziki wa injili wakiwa katika uzinduzi huo.

????????????????????????????????????
Mwimbaji nguli wa muziki wa injili Bonny Mwaitege akiimba katika uzinduzi wa albam zake kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam jana, uzinduzi ambao ulihudhuriwa na maelefu ya wapenzi wa muziki wa ijini akishirikiana na waimbaji mbalimbali wa muziki huo ikiwa ni pamoja na baadhi ya kwaya kutoka katika baadhi ya makanisa ya jijini Dar es salaam, Bonny Mwaitege alikonga nyoyo za mashabiki wake kwa ikwango kikubwa huku akiwa amevalia vazi la Kinigeria wakati akiwa jukwaani, wapenzi wa muziki waliohudhuria katika uzinduzi huo walijikuta kila mmoja akijitikisa pale alipo kutokana na kuvutiwa na nyimbo za mwimbaji huyo kutoka mkoani mbeya.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad