Mgeni
rasmi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma,
Selina Kombani akiwahutubia wajumbe waliohudhuria Kikao cha Pili cha
Baraza la Nne la Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu lililofanyika
jana katika ukumbi wa Hazina Ndogo mkoani Dodoma.
Mkurugenzi
Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa akielezea machache
kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi wakati wa Kikao cha Pili cha Baraza la
Nne la Wafanyakazi wa Ofisi hiyo lililofanyika jana katika ukumbi wa
Hazina Ndogo mkoani Dodoma.

Mkurugenzi
Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa (Kulia) akipiga
makofi mara baada ya Mgeni rasmi kufungua Kikao cha Pili cha Baraza la
Nne la Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu lililofanyika jana
katika ukumbi wa Hazina Ndogo mkoani Dodoma. Kushoto kwake ni Katibu wa
Baraza hilo Magreth Jacob.

Mgeni
rasmi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma,
Selina Kombani akimkabidhi cheti Mfanyakazi bora wa mwaka 2014 Joshua
Mwaisemba mara baada ya kufungua Kikao cha Pili cha Baraza la Nne la
Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu lililofanyika jana katika
ukumbi wa Hazina Ndogo mkoani Dodoma.

Mgeni
rasmi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma,
Selina Kombani akimkabidhi hundi mmoja wa wastaafu wa Ofisi ya Taifa ya
Takwimu Ibrahimu Masanja mara baada ya kufungua Kikao cha Pili cha
Baraza la Nne la Wafanyakazi wa Ofisi hiyo lililofanyika jana katika
ukumbi wa Hazina Ndogo mkoani Dodoma.

Mgeni
rasmi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma,
Selina Kombani (wa tatu kutoka kushoto) akiwa na menejimenti ya Ofisi ya
Taifa ya Takwimu mara baada ya kufungua Kikao cha Pili cha Baraza la
Nne la Wafanyakazi wa Ofisi hiyo lililofanyika jana katika ukumbi wa
Hazina Ndogo mkoani Dodoma.
No comments:
Post a Comment