
Jaji
Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman na ujumbe wake pamoja na
maafisa wa bunge wakiingia Bungeni tayari kwa hotuba ya mwisho ya Rais
Jakaya Mrisho Kikwete mjini Dodoma Alhamisi Julai 9, 2015

Marais
wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa na
Mawaziri wakuu wastaafu Dkt Salim Ahmed Salim, Jaji Joseph Sinde
Warioba, Mhe. Frederick Sumaye na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama
na maafisa waandamizi jeshini na serikalini wakiwa wamesimama wakati
viongozi wakiingia bungeni

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein akiingia bungeni

Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali akiingia katika ukumbi wa Bunge

Spika Anne Makinda akimuongoza Rais Kikwete kuingia bungeni

Rais Kikwete akiingia bungeni huku akishangiliwa na wabunge
Rais Kikwete akiingia bungeni

Rais Kikwete na Spika Makinda wakielekea kuchukua nafasi zao
Sehemu ya ukumbi wa bunge wakati Rais Kikwete akiingia

Waheshimiwa wabunge

Sehemu ya maafisa waandamizi wa bunge
Rais Kikwete akianza kuhutubia wabunge
Sehemu ya maafisa waandamizi wa bunge
Rais Kikwete akihutubia
Rais Kikwete akiendelea na hotuba yake

Waheshimiwa wabunge wakiwa wametulia kumsikiliza Rais Kikwete
Sehemu ya wabunge

Sehemu ya wageni mashuhuri wakifuatilia hotuba

Sehemu ya wabunge

Wake wa viongozi, watoto wa Rais Kikwete na maafisa mbalimbali

Sehemu ya Mabalozi

Wabunge wakifuatilia hotuba

Wabunge wakifuatilia hotuba

Wabunge wakifuatilia hotuba

Wabunge wakifuatilia hotuba

Wabunge wakifuatilia hotuba

Wabunge wakifuatilia hotuba

Wabunge wakifuatilia hotuba

Wapiga picha wakirekodi hotuba ya Rais Kikwete

Jaji Mkuu na ujumbe wake

Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge

Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge

Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge

Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge
Wabunge

Sehemu ya maafisa waandamizi wa vikosi vya ulinzi na usalama na wageni waalikwa
Wabunge

Rais
wa Zanzibar Dkt. Shein, Makamu wa Rais Dkt Bilali, Naibu Spika Mhe
Ndugai na Mwenyekiti wa Bunge Mhe Mussa Hassan Zungu wakifuatilia hotuba

Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge

Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge

Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge

Mmoja wa wabunge Mhe. Riziki Saidi Ruliga, akifuatilia hotuba kwa makini

Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge

Sehemu ya wabunge
Jaji Mkuu na ujumbe wake wakifuatilia hotuba kwa makini

Ukumbi umetulia kusikiliza hotuba ya Rais Kikwete
Wabunge wakisikiliza hotuba

Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge

Wabunge

Spika Makinda akitoa neno la shukrani baada ya Rais Kikwete kumaliza hotuba yake

Rais Kikwete akitoka katika ukumbi wa bunge baada ya hotuba yake

Makamu wa Rais Dkt. Bilali akitoka bungeni

Rais wa Zanzibar akitoka bungeni

Jaji Mkuu akitoka bungeni

Rais Kikwete akisindikizwa kutoka nje baada ya kuhutubia

Rais Mstaafu Mhe Benjamin William Mkapa akisalimiana na wabunge

Rais Kikwete akipongezwa na Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi

Picha ya pamoja

Rais Kikwete akiongea na Marais Wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mhe Mkapa

Rais Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na marais wastaafu

Picha ya pamoja na marais wastaafu na viongozi wa juu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

No comments:
Post a Comment