Mkuu
wa Idara ya Masoko wa DTB Tanzania Ndg Sylevester Bahati akitowa maelezo
ya hafla hiyo ya futari katika viwanja vya hoteli ya Serena Shangani
Zanzibar. kwa ajili ya Wateja wa DTB Zanzibar hii ikiwa ni mara ya 6 kwa
Benki hiyo kujumuika na Wateja wao katika futari maalumu.
Mgeni
rasmin na viongozi wengini na wananchi wakipata futari maalumu
ilioandaliwa na DTB Tawi la Zanzibar kwa wateja wao kujumuika pamoja
iliofanyika katika viwanja vya hoteli ya serena shangani Zanzibar.
Meneja wa Tawi la Benki ya DTB Ndg Othman Juhudi na Mwenyekiti wa Bodi ya DTB Mahboob Shamsi.
Meneja
wa Diamond Trust Benk Tawi la Zanzibar Ndg Othman Juhudi akizungumza na
Wateja wa DTB na Wananchi waliohudhuria hafla hiyo ya futari maalum
walioandaliwa wateja wao katika viwanja vya hoteli ya Serena Shangani
Zanzibar.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Diamond Trust Mahboob Shamsi akitowa maelezo ya huduma za
Benki yao kwa Watajea wao waliohudhuria hafla maalum ya futari
waliowaandalia katika viwanja vya Hoteli ya Serena Shangani Zanzibar.
Waziri
wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe. Nassor Ahmeid Mazrui akizungumza
wakati wa hafla ya futari ilioandaliwa na Benki ya Diamond Trust Tawi la
Zanzibar kwa ajili ya Wateja wake iliofanyika hoteli ya Serena Shangani
Zanzibar.
Wananchi
waliohudhuria hafla ya futari ilioandaliwa na DTB kwa Wateja wao wa
Zanzibar wakimskiliza Mgeni Rasmin Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko
Zanzibar Mhe Nassor Mazrui akizungumza wakati wa hafla hiyo ya futari
iliofanyika katika viwanja vya hoteli ya Serena Shangani Zanzibar.
Kadhi
wa Wilaya ya Magharibi Othman Ame Chum, akisoma dua baada ya kumalizika
hafla ya futari ilioandaliwa na DTB kwa Wataje wake Tawi la Zanzibar
iliofanyika katika hoteli ya serena Zanzibar.
Meza
Kuu ikiongozwa na Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe
Nassor Mazrui akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Diamond Trust,
Mahboob Shamsi wakijumuika na Wateja wa DTB wakiitikia dua ikisomwa na
Kadhi wa Wilaya ya Magharibi Unguja Unguja Shekh. Othman Ame Chum.
Wananchi waliohudhuria hafla maalum ya futari ilioandaliwa na DTB kwa Wateja wake Zanzibar wakiitikia dua baada ya hafla hiyo
Meneja
wa DTB Tawi la Zanzibar akiwa na Mashekh wa Ofisi ya Kadhi Zanzibar
baada ya hafla hiyo ya futari iliofanyika hoteli ya Serena Shangani
Zanzibar.
Meneja
wa DTB Tawi la Zanzibar Othman Juhudi akiagana na Kadhi wa Wilaya ya
Magharibi Unguja Shekh. Othma Ame Chum, baada ya kumalizika kwa huduma
ya futari ilioandaliwa na Benki hiyo Zanzibar.
Wafanyakazi
wa Benk ya DTB Tawa la Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja na
viongozi wao baada ya kupata futari ilioandaliwa na Benki hiyo kwa ajili
ya Wateja wake wa Zanzibar katika hoteli ya Serena Shangani Zanzibar.
No comments:
Post a Comment