Maisha yetu : Ubatizo na birthday ya Ernest Simba Shomari ,Mtoto wa mtangazaji wa VOA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 5 June 2015

Maisha yetu : Ubatizo na birthday ya Ernest Simba Shomari ,Mtoto wa mtangazaji wa VOA


IMG_7814Wasimamizi wa Ernest Pius Mutalemwa na Harrieth Shangarai pamoja na wazazi na mapadre Munishi na Shao wakimbatiza mtoto Ernest huko Baltimore Md Jumapili Mei 31,2015 katika kanisa la Mt.Edwards.IMG_7913Padre Honest Munishi akiwa na wazazi na wasimamizi kwenye ubatizo. IMG_7810Wazazina wasimamizi. IMG_7775Nikisoma somo. IMG_7938Wazazi na mtoto Ernest. IMG_7750Rose.
mickey
Ernest akimwona Mickey Mouse Live kwa mara ya kwanza na kubadilishana nae mawazo.
IMG-20150531-WA0111
"Three The Hard Way" IMG_7976The Manase's. IMG_7959Brian akipiga kinanda. IMG_7963Cd na familia. IMG_8072"Menyu". IMG_8087The Cake. IMG_8135Anti Waheeda kulia na shosti wake. IMG_8227Mc Tuma akiwandaa watoto kucheza na Mickey Mouse. IMG_8193Mickey Mouse akicheza na watoto.Kwa picha ungana na Sundayshomari.com

No comments:

Post a Comment