Maisha na Biashara : CRDB yakabidhi PASSO kwa Mshindi - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 19 June 2015

Maisha na Biashara : CRDB yakabidhi PASSO kwa Mshindi

Mshindi wa Promosheni ya 'Tuma Pesa na Simbanking Shinda Passo' Mwinyi Khamis Juma mkazi wa Mbalali mkoani Mbeya, akipunga mkono baada ya kukabidhiwa zawadi yake katika hafla iliyofanyika mkoani Mbeya juzi. Kushoto ni Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Mkoa wa Mbeya, Benson Mwakyusa na Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa. (Na Mpiga Picha Wetu) 
Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (aliyeshika mfano wa ufunguo) akizungumza neno muda mfupi kabla ya makabidhiano wa zawadi ya Passo kwa mshindi wa Mkoa wa Mbeya, Mwinyi Khamis Juma. Kushoto ni Meneja wa Benki hiyo tawi la Mwanjelwa, Ephraim Lwila na Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Sumbawanga, Colnerius Msigwa (kulia)
 Mshindi wa Shindano la "Tuma Pesa na Simbanking Shinda Passo" Mwinyi Khamis Juma mkazi wa Mbalali mkoani Mbeya, kiushukuru uongozi wa Benki ya CRDB baada ya kuibuka mshindi wa Promosheni ya Shindano la 'Tuma Pesa na Simbanking Shinda Passo' inayoendeshwa na benki ya CRDB. Kulia ni Meneja wa Benki hiyo tawi la Mwanjelwa, Ephraim Lwila.
 Mwinyi Khamis Juma akiwa amepozi kwa picha mbele ya gari lake aina ya Passo.
 Mkurugenzi wa Benki ya CRDB mkoa wa Mbeya, Benson Mwakyusa akimkabidhi mfano wa ufunguo mshindi wa Promosheni ya 'Tuma Pesa na Simbanking Shinda Passo' Mwinyi Khamis Juma baada ya kuibuka mshindi. Wengine wanaoshuhudia ni Wakurugenzi, Mameneja pamoja na maofisa wa Benki hiyo.

No comments:

Post a Comment