Ofisa
Uratibu na Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Genoveva
Vicent (kulia), akimuelekeza jambo mwananchi aliyetembelea banda la
NHIF katika maonyesho ya wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea viwanja
vya Manazi Mmoja Dar es Salaam jana. Wengine wa pili kushoto ni Ofisa wa
NHIF, Ambrose Manyanda na Ofisa Mawasiliano wa NHIF, Luhende Singu.
Ofisa wa NHIF, Ambrose Manyanda (kulia), akimuelekeza jambo mwananchi aliyetembelea banda la NHIF.
Mtaalamu
wa Maabara wa Hospitali ya Amana, Johnbosco Kishebuka (kushoto),
akimpima urefu mwananchi aliyefika katika banda la NHIF kabla ya
kufanyiwa vipimo vingine.
Mwanahabari
Beatrice Mbwambo (kulia), ni miongoni mwa wananchi waliojitokeza kupima
afya yake katika banda la NHIF ambapo huduma hiyo ya kupima ugonjwa wa
kisukari, shinikizo la damu na , saratani ya matiti.
Ofisa wa NHIF (kushoto), akitoa maelekezo kwa wananchi waliofika kwenye banda la NHIF.
Wananchi waliotembelea banda la NHIF wakipata maelezo mbalimbali kutoka kwa maofisa wa NHIF.
Wananchi wakiwa wamefurika banda la NHIF kwa ajili ya kupata huduma za kupima afya zao.
Wadau mbalimbali wakisubiri kupata vipimo katika banda la NHIF. (Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)
No comments:
Post a Comment