Lema na Kafulila wakihutubia mkutano wilaya ya Siha mkoa wa Kilimanjaro.
Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema na Mbunge wa Kigoma Kusini David
Kafulila wakihutubia wananchi wa wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro
Mwanasheria wa CHADEMA na Mbunge wa Singida Mashariki akihutubia
wananchi wa Arusha katika viwanja vya soko la Kilombero jijini Arusha
juu ya masuala ya katiba na uchaguzi wa Octoba mwaka huu
Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema na Mbunge wa Kigoma Kusini
wakiongoza wananchi kuelekea kwenye mkutano wa Hadhara ambapo
wamehutubia maelfu ya wananchi wa Siha katika viwanja vya Soko la
Lawate.Picha na Ferdinand Shayo wa Wazalendo 25 Blog
RAIS SAMIA AWAINUA PIKIKIPI 37 MAAFISA UGANI WA KILIMO KIBAHA TC
-
NA VICTOR MASANGU, KIBAHA
Halmashauri ya Kibaha mji imepokea jumla ya pikipiki zipatazo 37 kutoka
serikalini kupitia Wizara ya kilimo kwa lengo la kuwaweze...
9 hours ago
No comments:
Post a Comment