Michezo : Bondia Francis Cheka Kuzipiga Leo, Ukumbi wa P.T.A Sabasaba - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


30 May 2015

Michezo : Bondia Francis Cheka Kuzipiga Leo, Ukumbi wa P.T.A Sabasaba

Mabondia Francis Cheka kushoto na Kiatchai Singwancha wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa May 30 utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A sabasaba .
PICHA NA SUPER D BOXING NEWS

Mabondia Francis Cheka kushoto na Kiatchai Singwancha wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa jumamosi ya May 30 utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A sabasaba 
PICHA NA SUPER D BOXING NEWS

Mabondia Selemani Zugo naq Twaha Kiduku wakitunishiana misuli
BONDIA JOSEPH SINKALA AKITUNISHIANA UBAVU NA IBRAHIMU MAOKOLA BAADA YA KUPIMA UZIDO KWA AJILI YA MPAMBANO WAO W MEI 30 KATIKA UKUMBI WA P.T.A SABASABA PICHA NA SUPER D BOXING NEWS

BONDIA EPSON JOHN AKIPIMA UZITO

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad