Matukio : Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda Afungua Kongamano la Lions Club - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


10 May 2015

Matukio : Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda Afungua Kongamano la Lions Club

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitambulishwa kwa  viongozi wa Lions Club kabla ya kufungua kongamano lao la 12 kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam Mei 9, 2015
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika picha ya pamoja na viongozi wa Lions Club kabla ya kufungua kongamano lao la 12 kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam  Mei 9, 2015. 
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia mkutano wakati alipofungua kongamano la 12 la Lions Club kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam  Me 9, 2015.
 Baadhi ya washiriki wa kongamano la 12 la Lions Club wakimsikiliza Wairi Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua  kongamano hilo kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam Mei 9, 2015.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na washiriki wa kongamano la 12 la Lions Club  kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salam
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Dkt Kanaba na mkewe baada ya kufungua kongamano la 12 la Lions Club kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongea   na viongozi wa Lions Club  baada ya kufungua kongamano lao la 12 kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam
  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana  na viongozi wa Lions Club  baada ya kufungua kongamano lao la 12 kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongea  na baadhi ya washiriki wa kongamano la 12 la Lions Club  kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salam. Picha na PMO

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad