Timu
Tanzania ikipata picha ya pamoja kabla ya kuanza matembezi ya saratani
ya matiti ya Susan G. Komen yaliyofanyika Washington, DC siku ya
Jumamosi May 9, 2015.
Wanusurika wa saratani ya matiti wakipata picha ya pamoja.
Matembezi yakianza.
Kushoto
ni msaniii toka uingereza Matt Goss aliyeimba wimbo maalum wa Strong
kwa ajili ya matembezi haya ya Susan G. Komen ambaye mwaka jana mama
yake mzazi alifariki kutokana na maradhi ya saratani ya matiti akipeana
mkono na watembeaji wa saratatani ya titi. Kati ni Nancy G. Brinker
mdogo wake Susan G. Komen akipeana mkono na watembeaji siku ya
maadhimisho ya matembezi ya saratani ya matiti kwa kumuenzi dada yake
kwa kuanzisha oganaizesheni ya kupigana na gonjwa hili hatari mwaka 1982
kama ahadi aliyomwekea dada yake.
Mmoja
ya watembeaji na mnusurika wa saratani ya titi akipatiwa huduma ya
kwanza na watembeaji wenzake baada ya kuanguka na kupata majeraha kwenye
paji la uso huku wakisubili gari la wagonjwa.
Timu Tanzania ikichanja mbuga kwenye matembezi hayo.
Mwanahabari
wa Kwanza Production na Vijimambo Media Mubelwa Bandio(kulia) akiwa
sambamba na mwimbaji Matt Goss na Nancy G. Brinker CEO wa Susan G. Komen
Timu Tanzania ikiwa imemaliza matembezi yao ya maili 3 takribani na kilomita 5
Watoto wa wazazi Watanzania wakipata picha ya pamoja baada ya kumaliza matembezi hayo na wazazi wao.
Picha
ya pamoja ya kumaliza matembezi hayo pamoja na mmoja wa kikosi cha zima
moto wa TDF aliyejumuika kupiga picha na timu Tanzania.
Picha zote na Kwanza Production
na Vijimambo Media & Entertainment.
na Vijimambo Media & Entertainment.
Kwa picha zaidi bofya HAPA
No comments:
Post a Comment