UKIWA
NI MWAKA WA 19 TANGU AJALI YA MV BUKOBA ITOKEE FLAVIANA MATATA KUPITIA
MFUKO WA FLAVIANA MATATA FOUNDATION AMBAYO IMEKUWA IKIADHIMISHA KWA
KUSOMA IBADA NA KUKUMBUKA WAHANGA HAO AKIWEMO MAMA YAKE MZAZI.
MWAKA
WA NNE SASA FMF IKIWA INAFANIKISHA IBADA IYO AMBAPO ILISOMWA KATIKA
KANISA LA NYAKAHOJA JIJINI MWANZA NA KISHA KUMALIZIA IBADA IYO KATIKA
MAKABURI HAYO YALIYOPO IGOMA JIJINI MWANZA.
FLAVIANA
MATATA FOUNDATION INAPENDA KUWASHURU TEAM YA ZALENDO TANZANIA , MARINE
SERVICE KWA KUSHIRIKIANA NASI KATIKA IBADA IYO PAMOJA NA NDUGU ,JAMAA NA
MARAFIKI SAMBAMBA NA FAMILIA ZA WAFIWA.
No comments:
Post a Comment