Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Celina Kombani
wa tano kushoto akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa serikali
Mkoa wa Mbeya na TPSC baada ya uzinduzi wa jengo jipya litakalotumiwa na
TPSC tawi la Mbeya, wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa TPSC
tawi la Singida, Dkt. Enortha Shayo, Makamo Mkuu wa TPSC, Dkt Henry
Mambo na Mkurugenzi wa Manispaa ya Jiji la Mbeya Musa Zungira na
Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya Athanas Kapuga wa pili kulia ni Mkuu wa
TPSC Said Hamis Nassor na wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa TPSC tawi la
Mbeya Augustino Mhina.Picha na www.inocomm.blogspot.com
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Celina Kombani
akimsikiliza Mkuu wa TPSC Tanzania, Said Hamis Nassor, baada ya kuzindua
jengo jipya litakalotumiwa na TPSC tawi la Mbeya,wengine wa pili
kushoto ni Mkurugenzi wa TPSC tawi la Mbeya Augustino Mhina.
Sehemu ya wafanyakazi na wanafunzi wa TPSC tawi la Mbeya wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Celina Kombani.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Celina Kombani
akizungumza na watumishi wa TPSC tawi la Mbeya,katikati ni Mkuu wa
Wilaya ya Mbeya Nyerembe Munassa.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Celina Kombani
akipata maelezo kutoka Mkurugenzi wa halmashauri ya Jiji la MbeyaMusa
Zungira, kuhusu jengo jipya litakalotumiwa na TPSC tawi la Mbeya eneo
la Soko Matola, wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Chuo cha utumishi wa Umma
Tanzania, Said Hamis Nassor wa pili kushoto ni Mstahiki Meya wa Jiji la
Mbeya Athanas Kapunga .
Waziri akipata maelezo ya jengo hilo kutoka kwa watendaji wa Manispaa ya Mbeya na TPSC.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Celina Kombani
akikata utepe kuzindua jengo jipya litakalotumiwa na TPSC tawi la Mbeya
eneo la Soko Matola, jijini hapa, kulia ni Mkuu wa TPSC Said Hamis
Nassor na kushoto ni Meya wa Jiji la Mbeya, Athanas Kapunga.
No comments:
Post a Comment