Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la siku mbili la Kimataifa
la Mafunzo ya pamoja kwa Mabadiliko ya Kisayansi na Teknolojia,
yaliyoanza leo jijini Arusha. Mafunzo hayo yameshirikisha washiriki
kutoka Nchi 14 za Afrika na washiriki kutoka Vyuo 15 vya nchini Sweden.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Balozi wa Swiden Nchini Tanzania, Lennarth Hjelmaker,
wakati alipowasili kwenye Taasisi ya ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson
Mandela, jijini Arusha kwa ajili ya kufungua Kongamano la siku mbili la
Kimataifa la Mafunzo ya pamoja kwa Mabadiliko ya Kisayansi na
Teknolojia, yaliyoanza leo jijini Arusha. Mafunzo hayo yameshirikisha
washiriki kutoka Nchi 14 za Afrika na washiriki kutoka Vyuo 15 vya
nchini Sweden.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
kwenye ukumbi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela,
jijini Arusha kwa ajili ya kufungua Kongamano la siku mbili la Kimataifa
la Mafunzo ya pamoja kwa Mabadiliko ya Kisayansi na Teknolojia,
yaliyoanza leo jijini Arusha. Mafunzo hayo yameshirikisha washiriki
kutoka Nchi 14 za Afrika na washiriki kutoka Vyuo 15 vya nchini Sweden.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano hilo, baada ya
ufunguzi rasimi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, baada ya ufunguzi .
Kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo cha Nelson Mandela, Prof. Burton Mwamila
(wa pili kulia) ni Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Hasna Mwilima,
aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, katika hafla hiyo. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment