Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Salum Mwalim akizindua mafunzo ya timu za
kampeni, viongozi wa chama na viongozi wa serikali za mitaa wanaotokana na
CHADEMA kwa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini (Njombe, Ruvuma, Rukwa, Mbeya na
Iringa) ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya chama kwenda kushinda dola na kuongoza
serikali katika uchaguzi mkuu ujao
Rais Samia ahutubia Mabalozi pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya
Kimataifa katika Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi (Diplomatic Sherry
Party) Ikulu Jijini Dar
-
*Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akiwa kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party)
Iku...
8 hours ago
No comments:
Post a Comment