Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi kuhusu operesheni tokomeza Jaji(Mstaafu)
Balozi Hamisi Amiri Msumi akimkabithi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ripoti
ya Uchunguzi wa Tume hiyo katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar
es Salaam leo.Rais Kikwete aliiteua tume hiyo mwaka jana kuchunguza tuhuma
za uvunjifu wa sheria katika utekelezaji wa operesheni hiyo. picha na Freddy Maro.
He is a Tanzanian Journalist , Editor and blogger of Wazalendo 25 Blog which operate since 2006 ; covering International and Local News, including Politics, Sports, Athletics, Events, personalities and positive news happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English Audience.
A Snapshot from the Serengeti: The Gentle Giants
-
The Serengeti never fails to surprise. Today, we had the pleasure of
observing two giraffes navigating the sprawling acacia canopy, a perfect
portrai...
No comments:
Post a Comment