Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe akiwa na Waziri wa Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara pamoja na uongozi na
baadhi ya wafanyakazi wa Azam TV wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi
wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es
salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa uzinduzi wa Studio mpya za Azam Tv zilizoko Tabata jijini Dar es salaam. |
|
Naibu Mtendaji Mkuu wa Azam Media Limited, Tido Mhando. |
Mhando mwenye uzoefu wa kuongoza Kampuni za vyombo vya habari
zikiwemo idhaa ya Kiswahili BBC, Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) na
Mwananchi Communications Limited (MCL) amesema kuwa studio hizo zina
ubora kuliko nyingine zote nchini.
Jumla ya dola za Kimarekani milioni 31 (zaidi ya sh. Bilioni 56 za Tanzania) zimetumika kutengeneza studio mpya za kisasa za Azam Tv, zilizopo eneo la Tabata jijini Dar es salaam.
Jumla ya dola za Kimarekani milioni 31 (zaidi ya sh. Bilioni 56 za Tanzania) zimetumika kutengeneza studio mpya za kisasa za Azam Tv, zilizopo eneo la Tabata jijini Dar es salaam.
Mc wa uzinduzi ni Taji Liundi. |
Jicho la kamera. |
Mwanamuziki Barnaba akiburudisha. |
Wageni waalikwa. |
Eneo la tukio meza kuu na wageni waalikwa. |
Sehemu ya studio mpya za Azam Tv zilizoko Tabata jijini Dar es salaam. |
No comments:
Post a Comment