Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akiongozana na mwenyeji wake ambaye ni Kaimu Balozi wa Japan nchini
Tanzania,Mh. Kazuyoshi Matsunaga wakati alipowasili nyumbani kwa Balozi
huyo,Masaki Jijini Dar es salaam,kulikofanyika hafla fupi ya kusaini
mkataba wa makubaliano wa kufanikisha Miradi miwili iliyopo kwenye
Halmashauri ya Wilaya ya Monduli,jijini Arusha.Serikali ya Japan
imeipatia Halmashauri hiyo dola za kimarekani 142,251 (sawa na Shilingi
Milioni 250) kwa ajili ya kufanikisha miradi hiyo.PICHA ZOTE NA OTHMAN
MICHUZI.
Kaimu
Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Kazuyoshi Matsunaga (kushoto)
akionyesha kitu kwenye karatasi kwa Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa
Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa pamoja Mbunge wa Viti Maalum -
Monduli,Mh. Namelock Sokoine,wakati wa hafla fupi ya kusaini mkataba wa
makubaliano wa kufanikisha Miradi miwili iliyopo kwenye Halmashauri ya
Wilaya ya Monduli,jijini Arusha.Serikali ya Japan imeipatia Halmashauri
hiyo dola za kimarekani 142,251 (sawa na Shilingi Milioni 250) kwa ajili
ya kufanikisha miradi hiyo.
Kaimu
Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Kazuyoshi Matsunaga akitoa hotuba
yake mbele ya Ujumbe wa Wilaya ya Monduli pamoja na Waandishi wa habari
wakati wa hafla fupi ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kufanikisha
Miradi miwili iliyopo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Monduli,jijini
Arusha.Serikali ya Japan imeipatia Halmashauri hiyo dola za kimarekani
142,251 (sawa na Shilingi Milioni 250) kwa ajili ya kufanikisha miradi
hiyo.
Kaimu
Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Kazuyoshi Matsunaga (kulia) na
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli,Twalib Mbasha
wakisaini mkataba wa makubaliano wa kufanikisha Miradi miwili iliyopo
kwenye Halmashauri ya Monduli.Serikali ya Japan imeipatia Halmashauri
hiyo dola za kimarekani 142,251 (sawa na Shilingi Milioni 250) kwa ajili
ya kufanikisha miradi hiyo.Wengine pichani ni Mbunge wa Viti Maalum -
Monduli,Mh. Namelock Sokoine (katikati),Mwenyekiti wa Halmashauri ya
Monduli,Edward Sapunyu pamoja na Afisa wa Mambo ya Nje na Mkuu wa Idara
ya Miradi wa Ubalozi wa Japan nchini,Takashi Higuchi.
Kaimu
Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Kazuyoshi Matsunaga (kulia) na
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli,Twalib Mbasha
wakibadilishana mikataba mara baada ya kuisaini,wakati wa hafla ya fupi
iliyofanyika leo nyumbani kwa Balozi huyo,Masaki jijini Dar.Serikali ya
Japan imeipatia Halmashauri ya Monduli dola za kimarekani 142,251 (sawa
na Shilingi Milioni 250) kwa ajili ya kufanikisha miradi miwili ya
wilaya hiyo.Wengine pichani ni Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la
Monduli,Mh. Edward Lowassa (kulia) Mbunge wa Viti Maalum - Monduli,Mh.
Namelock Sokoine pamoja na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Monduli,Edward
Sapunyu.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiteta
jambo na Kaimu Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Kazuyoshi Matsunaga
wakati wa hafla fupi ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kufanikisha
Miradi miwili iliyopo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Monduli,jijini
Arusha.Serikali ya Japan imeipatia Halmashauri hiyo dola za kimarekani
142,251 (sawa na Shilingi Milioni 250) kwa ajili ya kufanikisha miradi
hiyo.
Mbunge
wa Viti Maalum - Monduli,Mh. Namelock Sokoine akizungumza
machache mbele ya Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh.
Edward Lowassa,Kaimu Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Kazuyoshi
Matsunaga pamoja na waandishi wa habari (hawapo pichani).
Picha ya pamoja.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiagana
na Kaimu Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Kazuyoshi Matsunaga mara
baada ya hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment