Matukio: Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Felix Ntibenda Amuapisha Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Bw. Hashim Shaibu Jijini, Arusha - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 3 March 2015

Matukio: Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Felix Ntibenda Amuapisha Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Bw. Hashim Shaibu Jijini, Arusha

 Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Hashimu Shaibu akila kiapo cha utumishi mbele ya Mkuu wa mkoa wa Arusha Daudi Felix Ntibenda  jana katika hafla iliyofanyika katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa huyo.
Viongozi wa dini wakifuatilia kwa makini kuapishwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Hashimu Shaibu (hayupo pichani ) Kushoto ni Sheikh Abdulrahmani Salim wa BAKWATA Arusha,Askofu Solomon Jacob Massangwa  wa kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini (katikati),kulia ni Sheikh Ghullam Hussein wa Arusha.Hafla ya kuapisha  kwa mkuu wa wilaya huyo ilifanyika jana katika ofisi za mkuu wa mkoa wa Arusha. Picha na Ferdinand Shayo wa Wazalendo 25 Blog

No comments:

Post a Comment