Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na baadhi ya washiriki wa Kongamano la tatu la Vijana wa
Tanzania na China kuhusu masuala ya Uongozi, wakati alipokuwa akiwasili
kwenye ukumbi wa Hoteli ya Ngurdoto kufunga kongamano hilo jana Machi
29, 2015.
Meza kuu.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma hotuba yake jana Machi 29, 2015 wakati akifunga rasmi Kongamano
la tatu la Vijana wa Tanzania na China, lililohusu masuala ya Uongozi,
lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Ngurdoto jijini arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi zawadi Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi na Makamu
Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la China na Afrika, Chen Lin, baada ya
Makamu kufunga rasmi Kongamano la tatu la Vijana wa Tanzania na China,
lililohusu masuala ya Uongozi, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya
Ngurdoto jijini arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, wakati akiondoka
ukumbini hapo baada ya kufunga rasmi Kongamano la tatu ya Viajana wa
Tanzania na China, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Ngurdoto
jijini Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, wakati
akiondoka ukumbini hapo baada ya kufunga rasmi Kongamano la tatu ya
Viajana wa Tanzania na China, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya
Ngurdoto jijini Arusha.
Baadhi
ya washiriki wa Kongamano hilo wakimksikiliza Makamu wa Rais Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, wakati akifunga rasmi Kongamano hilo.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo wakimksikiliza Makamu wa Rais
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akifunga rasmi Kongamano hilo.

Picha na OMR
No comments:
Post a Comment