Mtoto Mary
Paulo ,mwanafunzi wa Shule ya Msingi akifafanua kuhusu bustani za Mboga mboga
wanazolima shuleni hapo ili kuimarisha lishe,walipotembelewa na Maafisa wa Shirika la Marekani la kutoa misaada la
Marekani la USAID
waliokuwa wakitazama utekelezaji wa miradi inayofadhiliwana shirika hilo
inayotekelezwa na Mradi wa Pamoja tuwalee ,World Education Inc na Cente for
Women and Children.

Maafisa
wa Shirika la Marekani la kutoa misaada
la Marekani la USAID
waliokuwa wakitazama Bidhaa zinazotengenezwa na Wajasiriamali Wanawake
kutoka jamii ya Wamasai Wafuagaji Wa
kikundi cha LIMCA kilichoko kata ya Terrat ,Arusha juzi walipotembelea kuona utekelezaji
wa miradi inayofadhiliwana shirika hilo inayotekelezwa na Mradi wa Pamoja
tuwalee ,World Education Inc na Cente for Women and Children.
Maafisa
wa Shirika la Marekani la kutoa misaada
la Marekani la USAID
waliokuwa wakitazama Bidhaa zinazotengenezwa na Wajasiriamali Wanawake
kutoka jamii ya Wamasai Wafuagaji Wa
kikundi cha LIMCA kilichoko kata ya Terrat
,Arusha,juzi walipotembelea kuona utekelezaji wa miradi inayofadhiliwana
shirika hilo inayotekelezwa na Mradi wa Pamoja tuwalee ,World Education Inc na
Cente for Women and Children.Picha na Ferdinand Shayo wa Wazalendo 25 Blog
MONGELA AONGOZA KUAGA MIILI YA WATU WANNE WALIOPATA AJALI MBEYA
-
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu John Mongella,
leo tarehe 27 Februari 2025 ameongoza shughuli ya kuaga miili ya marehemu
wanne w...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment