Burudani : Wema Sepetu , Martin Kadinda katika Studio za Radio 5 jijini Arusha - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 8 March 2015

Burudani : Wema Sepetu , Martin Kadinda katika Studio za Radio 5 jijini Arusha


Wema Sepetu akiwa ndani ya studio za Radio 5 jana mara baada yan kufanya ziara fupi mjengoni hapo akielezea pia kuhusu show yake ya black and white party iliyofanyika jana usiku tarehe 7/3/2015 jijini Arusha kushoto ni mtangazaji mahiri wa kituo hicho Wilfredy akiwa anafanya kipindi na mwanadada huyo, Wanaonekana pichani ni team Wema.(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)

Wema Sepetu akiwa anaeleza furaha yake yakuwepo jiji Arusha ambapo amesema jiji la Arusha ni miongoni mwa majiji anayoyapenda, Mwanza ikiwa ya kwanza na Arusha ya pili, Kulia ni msanii Petiman a.k.a Wakuache. 

Msafara wa Wema Sepetu ukiingia kwa mbwembwe katika studio za Radio5 zilizopo njiro jijini Arusha.

Muonekano wa Wema Sepetu akiingia mjengoni akiwa katika gari la kifahari la wazi.

Mkuu wa vipindi vya Radio5 kulia Mathew Phillip akiwa anakaribisha team Wema.

Meneja wa Wema Sepetu Martin Kadinda akiwa anatoa neno la shukran kwa wana Arusha kwa mapokezi yao makubwa.

Team mishemishe wakiwa na Wema Sepetu, kushoto; Mwanaisha Suleiman, Wema Sepetu, Mwangaza Jumanne na Hilda Kinabo wakishoo love.

Camera man wa Wema Sepetu akiwa anachukua matukio.

Mtangazaji mahiri wa kituo cha Radio5 Wilfredy akiwa katika picha ya pamoja na mwana dada Wema Sepetu.

Team wema wakiwa wanaondoka katika studio za Radio5.

No comments:

Post a Comment