Matukio :Rais Dk. Jakaya Kikwete apokea hati za utambulisho kutoka Malawi,Kuwait.Afrika ya Kusini na Kenya - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 18 February 2015

Matukio :Rais Dk. Jakaya Kikwete apokea hati za utambulisho kutoka Malawi,Kuwait.Afrika ya Kusini na Kenya

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi wanne wanaoziwakiklisha nchi zao hapa Tanzania.Mabalozi walioziwasiliasha hati zao leo ikulu ni pamoja na Hawa Ndilowe- Malawi,Jasem Ibrahim Al- Najem- Kuwait, Thamsanqa Dennis Mseleku-Afrika ya Kusini na Chirau Ali Mwakwere- Kenya.Pichani Mabalozi hao wakiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Baliozi mpya wa Malawi nchini Tanzania Mhe. Hawa Ndilowe akiwasilisha kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete hati za Utambulisho ikulu jijini Dar es Salaam.Katikati anayeshuhudia ni Mkuu wa Itifaki Balozi Mohamed Maharage Juma.
Baliozi mpya wa Malawi nchini Tanzania Mhe. Hawa Ndilowe akiwasilisha kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete hati za Utambulisho ikulu jijini Dar es Salaam.Katikati anayeshuhudia ni Mkuu wa Itifaki Balozi Mohamed Maharage Juma
Balozi mpya wa Kuwaiti nchini Tanzania Mhe.Jasem Ibrahim Al-Najem akiwasilisha kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete hati za utambulisho ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Balozi wa Kuwait nchini Tanzania akiwa katika picha na Rais Dkt.Jakaya Kikwete na 7021—wakiwa katika mazungumzo baada ya kuwasilisha hati za utambulisho.
Balozi Mpya wa Afrika ya Kusini nchini Tanzania Mhe.Thamsanqa Dennis Mseleku akiwasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo. Katikati anayeshuhudia ni Mkuu wa Itifaki Balozi Mohamed Maharage Juma.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na balozi mpya wa Afrika ya Kusini nchini Tanzania Thamsanqa Dennis Mseleku baada ya kuwasilisha hati zake za utambulisho na kufanya naye mazungumzo7216.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na balozi mpya wa Afrika ya Kusini nchini Tanzania Thamsanqa Dennis Mseleku baada ya kuwasilisha hati zake za utambulisho na kufanya naye mazungumzo7216.
Balozi Mpya wa Kenya nchini Tanzania Mhe.Chirau Ali Mwakwere akiwasilisha Kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete hati zake za utambulisho ikulu jijini Dar es Salaam leo. . Katikati anayeshuhudia ni Mkuu wa Itifaki Balozi Mohamed Maharage Juma.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na balozi mpya wa Kenya nchini Tanzania Chirau Ali Mwakwere wakikumbatiana na kwa furaha muda mfupi baada ya balozi huyo kuwasilisha hati zake za utambulisho ikulu jijini Dar es Salaam leo (picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment