Matukio : Dk. Rais Jakaya Kikwete akutana na Viongozi wa Taasisi ya Siti Binti Saad - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 12 February 2015

Matukio : Dk. Rais Jakaya Kikwete akutana na Viongozi wa Taasisi ya Siti Binti Saad


Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad Bibi Nasra Mohamed Hilal(wanne kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal, Waziri Mkuu Mizengo Pinda pamoja na mlezi wa Taasisi hiyo Rais Mstaafu awamu ya pili Mhe.Ali Hassan Mwinyi ikului jijini Dar es Salaam leo.(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment