Matukio : Dk. Jakaya Kikwete Ahudhuria Mazishi ya Mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani, Dar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

7 Feb 2015

Matukio : Dk. Jakaya Kikwete Ahudhuria Mazishi ya Mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani, Dar


Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, Mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani,  wakati wa mazishi Ijumaa February 6, 2015 huko Kimara King'ongo jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakijumuika na waomboilezaji wengine  katika mazishi ya Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani,  wakati wa mazishi Ijumaa February 6, 2015 huko Kimara King'ongo jijini Dar es salaam.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiweka udongo kwenye kaburi la  Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani,  wakati wa mazishi Ijumaa February 6, 2015 huko Kimara King'ongo jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiweka shada kwenye kaburi la  Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani,  wakati wa mazishi Ijumaa February 6, 2015 huko Kimara King'ongo jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633