Michezo : Simba Wanyakua Kombe la Mapinduzi 2015 kwa Kuifunga Mtibwa Sugar kwa Penalti 4 - 3 - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 14 January 2015

Michezo : Simba Wanyakua Kombe la Mapinduzi 2015 kwa Kuifunga Mtibwa Sugar kwa Penalti 4 - 3

Dk. Ali Mohamed Shein Akimkabidhi Kombe la Mapinduzi ,Nahodha wa Simba SC Hassan Isihaka baada ya Simba SC Kuifunga Mtibwa Sugar kwa Penaliti ya 4 - 3 ,kufuatia mchezo huo kuchezwa kwa dakika 90 bila kufungana , katika viwanja vya Amaan, Zanzibar.

No comments:

Post a Comment