Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akifungua semina ya siku moja kuhusu matokeo makubwa na ya
haraka katika kuleta mageuzi ya kiuchumi na kuleta maendeleo
nchini,ufunguzi huo ulifanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
na kuwashirikisha Viongzi wa ngazi za juu wa serikali ya Mapinduzi
wakiwemo Mawaziri,Naibu Mawaziri,Makatibu Wakuu,Naibu Makatibu Wakuu na
Watendaji wengine.
Baadhi
ya Mawaziri na Manaibu Waziri na watendaji wengine wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar wakifuatilia kwa makini wakati zilipokuwa
zikitolewa mada katika semina ya siku moja kuhusu matokeo makubwa na ya
haraka katika kuleta mageuzi ya kiuchumi na kuleta maendeleo nchini
iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja na kufunguliwa na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (hayupo pichani).
Mtaalam
kutoka Malaysia Dk.Idris Jala Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuupia
Mkuu wa kitengo cha usimamizi wa utafutaji ufumbuzi wa matatizo kwa njia
za vikao vya wataalam mbali mbali wa(maabara) ya Malaysia (PEMANDU)
akitoa mada katika semina ya siku moja kuhusu matokeo makubwa na ya
haraka katika kuleta mageuzi ya kiuchumi na kuleta maendeleo nchini
iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi inayoshuhulikia utafiti katika ufumbuzi wa matekeo
makubwa na ya haraka Bw.Omari Issa kutoka Tanzania Bara wakati alipokuwa
akitoa mada yake wakati wa semina ya siku moja kuhusu matokeo makubwa
na ya haraka katika kuleta mageuzi ya kiuchumi na kuleta maendeleo
nchini iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja na
kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)akiwa Mwenyekiti wa Semina hiyo.Picha na
Ikulu.
No comments:
Post a Comment