KAMATI YA BUNGE YA ARDHI,
MALIASILI NA MAZINGIRA
RATIBA
YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA
TAREHE 12 – 25 JANUARI, 2015
UKUMBI:
SAMUEL
SITTA
SIKU/TAREHE
|
SHUGHULI
|
MHUSIKA
|
Jumatatu
12 Januari, 2015
|
Kuwasili
Dar es salaam
|
Katibu
wa Bunge
|
Jumanne
13 Januari, 2015
|
Shughuli
za Utawala na kupitia ratiba
|
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
Jumatano
14 Januari, 2015
|
·
Kupokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa mradi wa viwanja 20,000
Dar es Salaam
·
Kupokea na kujadili taarifa ya
utekelezaji kuhusu makabidhiano ya eneo la mradi wa mji wa Luguruni kati ya
NHC na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
|
·
Wajumbe
·
Wizara ya Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi
·
NHC
|
Alhamisi
15 Januari, 2015
|
·
Kupokea na kujadili taarifa kuhusu
utekelezaji wa mradi wa pamoja wa JWTZ na NHC kuhusu uendelezaji wa makazi na
sehemu za biashara katika eneo la Msasani.
|
·
Wajumbe
·
Wizara ya Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi
·
Wizara ya Ulinzi
·
NHC
·
JWTZ
|
Ijumaa
16 Januari, 2015
|
Kupokea
na kujadili taarifa kuhusu utatuzi wa mgogoro wa mipaka kati ya Mamlaka ya
Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), kijiji cha Kakesio na kijiji kilichopo katika
wilaya ya Meatu.
|
·
Wajumbe
·
Wizara ya Maliasili na Utalii
·
NCAA
|
Jumamosi
na
Jumapili
17
– 18 Januari, 2015
|
MAPUMZIKO
YA MWISHO WA WIKI
|
WOTE
|
Jumatatu
19 Januari, 2015
|
·
Kupokea Taarifa ya utatuzi wa
mgogoro wa mpaka kati ya Hifadhi ya Taifa ya Saadan na Kampuni ya EKO Energy.
·
Kupokea taarifa ya utekelezaji wa
maagizo ya Waziri Mkuu kuhusu mgogoro wa mipaka katika msitu wa hifadhi
Kazimzumbwi.
|
·
Wajumbe
·
Wizara ya Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi
·
Wizara ya Maliasili na Utalii
|
Jumanne
20 Januari, 2015
|
Kupokea
taarifa kuhusu mgogoro wa Mipaka katika Pori la Akiba la Mkungunero na
Changamoto zake
|
·
Wajumbe
·
Wizara ya Maliasili na Utalii
·
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo
ya Makazi
|
Jumatano
21 Januari, 2015
|
Kupitia
rasimu ya taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Kamati kwa mwaka 2014/2015
|
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
Alhamisi
22 Januari, 2015
|
Kikao
cha pamoja kati ya Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira na Nishati na Madini
pamoja na Wizara za Nishati na Madini na Maliasili na Utalii kuhusu utatuzi
wa tatizo la uchimbaji madini ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Manyara.
|
·
Wajumbe
·
Wizara ya Maliasili na Utalii
·
Wizara ya Nishati na Madini
|
Ijumaa
23 Januari, 2015
|
Kukamilisha
rasimu ya taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Kamati kwa mwaka 2014/2015
|
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
Jumamosi
na Jumapili
24 – 25 Januari, 2015
|
Kuelekea
Dodoma
|
Katibu
wa Bunge
|
TANBIHI:
·
Vikao vitaanza saa 3:00 Asubuhi
·
Chai saa 4:30
Asubuhi
KAMATI YA BUNGE YA BAJETI
RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA TAREHE 04 HADI 23 JANUARI 2015
UKUMBI-MKWAWA
SIKU/TAREHE
|
SHUGHULI
|
MHUSIKA
|
Jumapili
4/1/2015
|
Kuwasili Dar es Salaam
|
Katibu wa Bunge
|
Jumatatu
5 /1/ 2015
|
Shughuli za Utawala na kupitia ratiba
|
·
Sekretarieti
·
Wajumbe
|
Jumanne
6 /1/ 2015
|
Kubadilishana uzoefu wa masuala mahsusi yatokanayo
na ziara za mafunzo ya Kamati Norway, Uingereza na Netherlands
|
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
Jumatano
7 /1/ 2015
|
Kuchambua Muswada wa Bajeti
|
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
·
Mshauri Mkuu wa Sheria
wa Bunge
|
Alhamisi
8/1/ 2015
|
Kuchambua Muswada wa Bajeti
|
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
·
Mshauri Mkuu wa Sheria
wa Bunge
|
Ijumaa
9/1/ 2015
|
·
Kutembelea Bandari ya
Dar es Salaam kujifunza namna shughuli za TRA zinavyotekelezwa
·
Kutembelea Eneo la Mradi
wa Kurasini Logistics Centre
|
·
Wizara ya fedha
·
Wizara ya Viwanda na
Biashara
·
Mkurugenzi Mkuu- EPZA
|
Jumamosi na Jumapili
10 - 11/1/2015
|
MAPUMZIKO YA MWISHO WA
WIKI
|
WOTE
|
Jumatatu
12
/1/ 2015
|
MAPUMZIKO YA SIKUKUU YA MAPINDUZI
|
WOTE
|
Jumanne
13/1/2015
|
·
Kukutana na washirika wa
Maendeleo wa Mfuko wa GBS
·
Kupokea na kujadili
taarifa kuhusu ugawaji wa fedha na utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika
maeneo ya;
o
Umeme Vijijini
|
·
Wajumbe
·
GBS
·
Waziri wa Nishati na
Madini
·
Mkurugenzi Mkuu REA
·
Wizara ya Fedha
|
Jumatano 14/1/2015
|
Kupokea na kujadili taarifa kuhusu ugawaji wa fedha
na utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika maeneo ya;
·
Maji
·
Barabara
|
·
Waziri wa Maji
·
Waziri wa Ujenzi
·
Mwenyekiti- Mfuko wa
Barabara
·
Wizara ya Fedha
|
Alhamisi 15/1/2015
|
Kupokea na kujadili taarifa kuhusu ugawaji wa fedha
na utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika maeneo ya;
·
Uchukuzi
·
TAMISEMI
|
·
Waziri wa Uchukuzi
·
Waziri- TAMISEMI
·
Wizara ya Fedha
|
Ijumaa 16/1/2015
|
·
Kupokea na kujadili
taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo mpaka kufikia Novemba, 2014;
·
Kupata mrejesho wa maoni
ya Wabunge kuhusu Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo
|
·
Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais, Tume ya Mipango
·
Katibu Mtendaji- Tume ya
Mipango
|
Jumamosi 17/1/2015
|
·
Kupokea taarifa ya
utekelezaji wa Bajeti Mpaka kufikia Desemba 31, 2014
o
Makusanyo
o
Mgawanyo wa Fedha.
·
Kupata mrejesho kutoka
kwa walipa kodi kuhusu mwenendo wa kodi mbalimbali
|
·
Waziri wa Fedha
·
TPSF
|
Jumapili 18/1/2015
|
MAPUMZIKO
|
WOTE
|
Jumatatu 19/1/2015
|
·
Serikali kuwasilisha
Muswada wa Sheria ya Bajeti;
·
Kusikiliza maoni ya
wadau kuhusu muswada wa bajeti
|
·
Waziri wa Fedha
·
Wadau
·
Wajumbe
|
Jumanne 20/1/2015
|
Kusikiliza maoni ya wadau kuhusu muswada wa bajeti
|
·
Wadau
·
Wajumbe
·
Wizara ya Fedha
·
|
Jumatano 21/1/2015
|
Kujadiliana na Serikali kuhusu Muswada wa bajeti
|
·
Wajumbe
·
Waziri wa Fedha
|
Alhamisi 22/1/2015
|
Kujadiliana na Serikali kuhusu Muswada wa bajeti
|
·
Sekretarieti
·
Wajumbe
|
Ijumaa 23/1/2015
|
o Kamati kupitia rasimu ya taarifa yake ya mwaka;
o Kamati kupitia rasimu ya taarifa ya Kamati kuhusu
Muswada wa Bajeti
|
·
Ofisi ya Rais, Tume ya
Mipango
|
Jumamosi na Jumapili
24 – 25 Januari, 2015
|
Kuelekea Dodoma
|
Katibu wa Bunge
|
KAMATI YA BUNGE YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA
RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA
TAREHE 12 – 25 JANUARI, 2015
UKUMBI: MIKUMI - MWALIMU NYERERE
SIKU/TAREHE
|
SHUGHULI
|
MHUSIKA
|
Jumatatu
12 Januari, 2015
|
Kuwasili Dar es Salaam
|
Katibu wa Bunge
|
Jumanne
13 Januari, 2015
|
Shughuli za utawala na kupitia ratiba
|
· Wajumbe
· Sekretarieti
|
Jumatano
14 Januari, 2015
|
Kupokea
maelezo ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuhusu Muswada wa Sheria ya
Marekebisho ya Sheria Mbalimbali The Written Laws (Miscellaneous Amendments Act, 2014)
|
· Wajumbe
· Mwanasheria Mkuu wa Serikali
|
Alhamisi
15 Januari, 2015
|
Kupokea maoni ya Wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya
Sheria Mbalimbali (The Written Laws
(Miscellaneous Amendments) Act, 2014):-
|
· Wajumbe
· Mwanasheria Mkuu wa Serikali
· Mhe. Athuman S. Janguo
· Mhe. Arcado D. Ntagazwa
· Tanganyika Law
Society(TLS)
·
Tanzania
Retired Judges Association (TARJA)
·
Legal
And Human Rights Center (LHRC)
·
Shule
ya Sheria Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam (UDSM)
·
Tanzania
Women
Lawyers
Association (TAWLA)
|
Ijumaa
16
Januari, 2015
|
Kupokea maoni ya Wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya
Sheria Mbalimbali (The Written Laws
(Miscellaneous Amendments) Act, 2014:-
|
· Wajumbe
· Mwanasheria Mkuu wa Serikali
· Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA)
· DUMT
· ANNAL HL
· Islamic Propagation Centre(IPC)
· Baraza la Sunna Tanzania (BASUTA)
· Baraza Kuu la Jumuia na Taasisi za Kiislam
· Jamaat Ansaar Sunna Tanzania
· Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT)
· CPCT
· Baraza la Maaskofu Tanzania(TEC)
· Shura ya Maimam Tanzania
· Jumuiya ya Taasisi za Kiislam Tanzania
· Baraza la Makanisa ya Kipentekosti Tanzania
(BMKT)
· Mwakilishi wa Kanisa la Wasabato (SDA)
|
Jumamosi&Jumapili
17-18
Januari 2015
|
MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI
|
|
Jumatatu
19 Januari, 2015
|
·
Kupokea
maoni ya Wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (The Written Laws (Miscellaneous
Amendments) Act, 2014,
·
Majumuiyo
ya Maoni ya Wadau ili kupata maoni ya Kamati
|
· Wajumbe
· Mwanasheria Mkuu wa Serikali
· Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA)
· Prof. Abdallah Safari
· Prof.Hamoud Majamba
· Jaji RoberT
· Makaramba
· Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT)
· Prof. Paramagamba Kabudi
· Hay Atul Ulamaa
Tanzania Ithnasharia Community (TIC)
|
Jumanne
20 Januari,2015
|
Kujadili Muswada wa Sheria ya Kukabiliana na Maafa (The Disaster Management) Act, 2014
|
· Wajumbe
· Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,
Uratibu na Bunge
· Mwanasheria Mkuu wa Serikali
· Tanganyika Law Society(TLS)
· Tanzania Retired Judges Association (TARJA)
· Legal And Human Rights Center (LHRC)
· Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam (UDSM)
· Tanzania Women Lawyers Association (TAWLA)
· NOLA
· Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT)
· Shule ya Sheria( zamani Kitivo cha Sheria) Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam
· Tanzania Women Gender Networking Program (TGNP)
|
Jumatano
21 Januari, 2015
|
·
Kufanya
majumuisho ya maoni ya Wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Kukabiliana na Maafa
·
Kuandaa
taarifa ya Kamati kuhusu Muswada wa Sheria ya Kukabiliana na Maafa ( The Disaster Management) Act, 2014
|
·
Wajumbe
·
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Uratibu na Bunge
·
Mwanasheria
Mkuu wa Serikali
|
Alhamisi
22 Januari, 2015
|
Kuandaa taarifa ya Kamati kuhusu Muswada wa
Sheria ya Kukabiliana na Maafa wa mwaka 2014
|
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
Ijumaa
23 Januari, 2015
|
Kupitia rasimu ya Taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Kamati kwa
mwaka 2014/2015
|
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
Jumamosi na Jumapili
24 &25 Januari,2015
|
Kuelekea Dodoma
|
Katibu
wa Bunge
|
KAMATI
YA BUNGE YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI
RATIBA
YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA
TAREHE 12 HADI 25 JANUARI, 2015
UKUMBI: COUNCEL
CHAMBER - KARIMJEE
SIKU/TAREHE
|
SHUGHULI
|
MHUSIKA
|
Jumatatu
12 Januari,
2015
|
Kuwasili Dar es salaam
|
Katibu wa Bunge
|
Jumanne
13
Januari, 2015
|
Shughuli za Utawala na kupitia
ratiba
|
· Wajumbe
· Sekretarieti
|
Jumatano
na Alhamisi
14 – 15
Januari, 2015
|
Kikao cha pamoja na Kamati
ya Uchumi, Viwanda na Biashara ili kujadili Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya
Stakabadhi Ghalani 2014 (The Warehouse
Receipts (Amendment) Act, 2014) kwa kushirikiana na Kamati ya Bunge ya
Uchumi, Viwanda na Biashara
|
· Wajumbe
· Waziri
wa Viwanda na Biashara
· Waziri
wa Kilimo, Chakula na Ushirika
· Wadau
· Ofisi
ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
|
Ijumaa
16 Januari,
2015
|
Kupitia rasimu ya Taarifa ya Mwaka
ya Utekelezaji wa Shughuli za Kamati kwa kipindi cha Januari 2014 - Januari
2015
|
·
Wajumbe
|
Jumamosi
17 Januari,
2015
|
MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI
|
WOTE
|
Jumapili
18 – 23
Januari, 2015
|
*Ziara ya Mafunzo katika nchi za India na Netherland
|
Katibu wa Bunge
|
Jumamosi
24 Januari,
2015
|
Kurejea Dar es Salaam
|
Katibu wa Bunge
|
Jumapili
25 Januar,i
2015
|
Kuelekea Dodoma
|
Katibu wa Bunge
|
* Ziara
hii itategemea upatikanaji wa fedha
TANBIHI
- Vikao vyote vitaanza saa 3:00 Asubuhi
- Mapumziko ya Chai ni saa 5:00 Asubuhi
- Tarehe 14 – 15 vikao vitafanyika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere
KAMATI
YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA
RATIBA
YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA
TAREHE 4 – 25 JANUARI, 2015
RATIBA
YA KAMATI NDOGO A
UKUMBI: AUSTINI SHAABA
SIKU/TAREHE
|
SHUGHULI
|
MHUSIKA
|
Jumapili
4
Januari, 2015
|
Wajumbe kuwasili Dar es Salaam
|
Katibu wa Bunge
|
Jumatatu
5
Januari, 2015
|
·
Shughuli
za Utawala na kupitia ratiba
·
Majadiliano
na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali kuhusu Mwenendo wa Halmashauri katika
kutekeleza Hoja za Ukaguzi, hususani Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba na
Manispaa ya Kinondoni kwa mujibu wa matokeo ya Kaguzi Maalum zilizofanyika
katika Halmashauri hizo.
|
|
Jumanne
6
Januari, 2015
|
Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo katika H/ Manispaa
ya Temeke
|
|
Jumatano
7
Januari, 2015
|
Ukaguzi wa miradi ya Maendeleo katika H/Manispaa
ya Kinondoni
|
|
Alhamisi
8
Januari, 2015
|
Ukaguzi wa miradi ya Maendeleo katika H/Manispaa
ya Ilala
|
|
Ijumaa
9
Januari, 2015
|
Tadhimini ya shughuli zilizofanyika wiki ya
kwanza
|
Wajumbe
|
Jumamosi na Jumapili
10 -11
Januari, 2015
|
MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI
|
WOTE
|
Jumatatu
12
Januari, 2015
|
SIKUKUU YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
|
·
Wajumbe
·
RAS
·
Mdhibiti
na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
·
TAMISEMI
·
Wizara
ya Fedha
·
Halmashauri
husika
|
Jumanne
13
Januari, 2015
|
Ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika H/Jiji la
Dar es Salaam
|
|
Jumatano
14
Januari, 2015
|
Majadiliano kati ya Kamati na Mameya wa Manispaa
ya Temeke, Ilala, Kinondoni na Jiji la Dar es Salaam na OWM- TAMISEMI kuhusu
hali halisi ya ukusanyaji wa mapato ya Serikali na
nidhamu ya matumizi ya fedha za umma katika
maeneo yao-
(Kikao kufanyika katika
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar Es
Salaam)
|
|
Alhamisi
15
Januari, 2015
|
Kamati kujadili Taarifa ya Hesabu zilizokaguliwa
za H/W Ngorongoro na H/W Karatu
|
|
Ijumaa
16/01/2015
|
Kujadili Taarifa ya Hesabu zilizokaguliwa za H/W
ya Geita na Rorya
|
|
Jumamosi na
Jumapili
17 – 18 Januari, 2015
|
MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI
|
|
Jumatatu
19
Januari, 2015
|
Kujadili Taarifa ya Hesabu za Manispaa ya Bukoba
|
|
Jumanne
20
Januari, 2015
|
Kujadili Taarifa ya Hesabu za H/Wilaya ya Kasulu
|
|
Jumatano
21
Januari, 2015
|
Kujadili Taarifa ya Hesabu za H/Wilaya Kwimba
|
|
Alhamisi na Ijumaa
22 –
23 Januari 2015
|
Kupitia rasimu ya taarifa ya mwaka ya
utekelezaji wa shughuli za Kamati kwa kipindi cha mwaka 2014/2015
|
|
Jumamosi na
Jumapili
24 –25
Januari, 2015
|
Kuelekea Dodoma
|
Katibu wa Bunge
|
KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA
RATIBA YA KAMATI NDOGO B (Wajumbe Watano)
ZIARA ZA UKAGUZI WA MIRADI MAENDELEO MKOANI RUKWA NA BAADAE VIKAO VYA KAMATI JIJINI DAR ES
SALAAM
TAREHE
|
SHUGHULI
|
Jumapili
4
Januari, 2015
|
Wajumbe kuwasili Dar es Salaam
|
Jumatatu
5
Januari, 2015
|
Shughuli za kiutawala na Maelezo ya Sekretarieti
kuhusu shughuli zitakazotekelezwa na Kamati
|
Jumanne
6
Januari, 2015
|
Wajumbe kuelekea Sumbawanga kwa gari
|
Jumatano
7
Januari, 2015
|
Ukaguzi wa miradi ya Maendeleo katika
Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
|
Alhamisi
8
Januari, 2015
|
Ukaguzi wa miradi ya Maendeleo katika H/ W ya Nkasi
|
Ijumaa
9
Januari, 2015
|
Wajumbe kuelekea
Sumbawanga Mjini
|
Jumamosi na Jumapili
10 -11
Januari, 2015
|
SIKUKUU YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
|
Jumatatu
12
Januari, 2015
|
MAJUMUISHO- OFISI YA MKUU WA MKOA WA RUKWA
|
Jumanne
13
Januari, 2015
|
Wajumbe kurejea Dar es Salaam
|
Jumatano
14
Januari, 2015
|
Wajumbe kujadili
Taarifa ya Hesabu zilizokaguliwa za H/W ya Kilosa na H/W ya Mkinga
|
Alhamisi
15
Januari, 2015
|
Kamati kujadili
Taarifa ya Hesabu zilizokaguliwa za H/W
ya Ukerewe
|
Ijumaa
16/01/2015
|
Kamati kujadili
Taarifa ya Hesabu zilizokaguliwa za H/W
ya Mpanda na H/M wa Mpanda
|
Jumamosi na
Jumapili
17 – 18 Januari, 2015
|
Kuandaa taarifa ya kazi zilizotekelezwa na Kamati
ndogo
|
Jumatatu
19
Januari, 2015
|
Maandalizi ya taarifa ya mwaka ya majukumu
yaliyotekelezwa na LAAC kufuatia taarifa ya ukaguzi kwa Mwaka wa Fedha wa
2012/2013.
|
KAMATI YA BUNGE YA MAENDELEO YA
JAMII
RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA
TAREHE 12 JANUARI – 25 JANUARI, 2015
UKUMBI: RUAHA
– M/NYERERE
SIKU/TAREHE
|
SHUGHULI
|
MHUSIKA
|
Jumatatu
12
Januari, 2015
|
Kuwasili Dar es Salam
|
Katibu
wa Bunge
|
Jumanne
13 Januari, 2015
|
· Shughuli
za utawala na kupitia ratiba
|
· Wajumbe
· Sekretarieti
|
Jumatano - Alhamisi
14 – 15 Januari, 2015
|
Kupokea maelezo ya Serikali na
maoni ya Wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Kuratibu Ajira za Wageni Nchini, 2014 (The Non-Citizens (Employment Regulation)
Act, 2014)
|
· Wajumbe
· Wadau
· Wizara
ya Kazi na Ajira
· Assocition
Tanzania Employees (ATE)
· Tanzania
Private Sector Foundation (TPSF)
· Trade
Union Congress of Tanzania (TUCTA)
· Attorney
General (AG)
· Tanzania
Union of Private Security Employees (TUPSE)
|
Ijumaa
16 Januari,
2015
|
Kuchambua na kupitia maoni ya
wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Kuratibu Ajira za Wageni Nchini, 2014 (The Non-Citizens (Employment Regulation)
Act, 2014)
|
Wajumbe
|
Jumamosi 17Januari, 2015
|
MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI
|
WOTE
|
Jumapili
18 Januari,
2015
|
Kutembelea Uwanja wa Taifa na kukagua
ufanisi wa mashine za kukatia tiketi za
ki - eletroniki (Electrical
Machine Devices)
|
· Wajumbe
· Wizara
ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
|
Jumatatu
19Januari,
2015
|
kujadili ufanisi na matumizi ya
mashine za ki eletroniki.
|
· Wajumbe
· Wadau
· Wizara
ya Habari, Utamaduni, Vijana na michezo
·
Bodi ya Ligi yaTaifa
·
VODACOM (wadhamini wa ligi)
|
Jumanne
20 Januari,
2015
|
Majumuisho ya Muswada wa Sheria ya
Kuratibu Ajira za Wageni Nchini, 2014 (The
Non-Citizens (Employment Regulation) Act, 2014)
|
|
Jumatano
21Januari,
2015
|
Kupitia Rasimu ya Taarifa ya
Kamati kuhusu Muswada wa Sheria ya Kuratibu Ajira za Wageni Nchini, 2014 (The Non-Citizens (Employment Regulation)
Act, 2014)
|
|
Alhamisi
22 Januari,
2015
|
Kupitia sehemu ya tatu ya Muswada
wa Marekebisho ya Sheria mbalimbali (The
Written Laws (Miscellaneous Amendments)(No.2)ACT,2014 inayohusu Amendment of the Employment and Labour
Relation Act,(CAP.366):-
|
· Wajumbe
· Attorney General (AG
· Wadau:
Tanzania Private
Sector Foundation(TPSF)
Association of Tanzania Employers (ATE)
Trade Union Congress of Tanzania (TUCTA)
Tanzania Union of Private Security Employees (TUPSE)
|
Ijumaa
23 Januari,
2015
|
Kupitia rasimu ya Taarifa ya Kamati ya mwaka 2014/2015
|
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
Jumamosi na Jumapili
24 - 25 Januari, 2015
|
Kuelekea
Dodoma
|
Katibu
wa Bunge
|
TANBIHI
Vikao
vitaanza saa 3:00
asubuhi
KAMATI YA BUNGE YA
MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
RATIBA YA SHUGHULI
ZA KAMATI
KUANZIA TAREHE 12
- 23 JANUARI, 2015
UKUMBI
WA MSEKWA (203)
SIKU/TAREHE
|
SHUGHULI
|
MHUSIKA
|
Jumatatu
12 Januari, 2015
|
Kuwasili
Dar es Salaam
|
Katibu
wa Bunge
|
Jumanne
13 Januari, 2015
|
Shughuli
za Utawala na kupitia ratiba
|
§ Wajumbe
§ Sekeretarieti
|
Jumatano na
Alhamisi
14 - 15
Januari, 2015
|
Kikao
cha Pamoja na Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama ili kupokea maelezo ya Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi na maoni ya Wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya
Marekebisho ya Sheria ya Uhamiaji, Sura ya 54, wa mwaka 2014,
|
·
Wajumbe
·
Wajumbe
Kamati ya Ulinzi na Usalama
·
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi
·
Wadau
|
Ijumaa
16 Januari, 2015
|
Kupokea
taarifa ya utekelezaji ya majukumu ya Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki
kwa kipindi cha Julai – Disemba 2014
|
·
Wajumbe
·
Waziri
wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki
|
Jumamosi na Jumapili
17 –18 Januari, 2015
|
MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI
|
WOTE
|
Jumatatu
19 Januari, 2015
|
§ Kupokea taarifa ya
Utekelezaji wa Shughuli mbalimbali za Balozi za Tanzania Ulaya, Amerika, Asia na Afrika
§ Kupokea taarifa
kuhusu hatua iliyofikiwa katika Maandalizi ya Sera ya Taifa kuhusu Utangamano wa SADC na Afrika Mashariki
|
· Wajumbe
· Waziri wa Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
|
Jumanne
20 Januari, 2015
|
§ Kupokea taarifa
ya Utekelezaji wa Shughuli za International Parliamentary Union (IPU) kwa
Mwaka 2014. Saa 4.00 Asubuhi – 6.00 Mchana
§ Kupokea taarifa
ya Utekelezaji wa Shughuli za wawakilishi wa Bunge katika Bunge la Afrika
(PAP) kwa Mwaka 2014. Saa 7.30 Mchana
– Saa 9.30 Alasiri
|
· Wajumbe
· Wajumbe wa IPU
· Wajumbe wa Bunge
la Afrika (PAP)
|
Jumatano
21 Januari, 2015
|
§ Kupokea taarifa ya Utekelezaji wa Shughuli za Wawakilishi
wa Bunge katika Africa Carebean Pacific
and European Union (ACP-EU) kwa Mwaka 2014 Saa 4.00 Asubuhi – saa 6.00 Mchana
§ Kupokea taarifa
ya Utekelezaji wa Shughuli za Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki( East
African Legislative Assembly (EALA)) kwa Mwaka 2014 Saa 7.30 Mchana – saa 9.30 Alasiri
|
·
Wajumbe
·
Wajumbe
wa EALA
·
Wajumbe
ACP-EU
|
Alhamis
22 Januari, 2015
|
§ Kupokea taarifa ya Utekelezaji wa Shughuli za Wajumbe
wa Bunge la SADC (Southern Africa
Development Community – Parliamentary Forum (SADC -PF) kwa Mwaka 2014.
Saa 4.00 Asubuhi – Saa 6.00 Mchana
§ Kupokea Taarifa
ya Utekelezaji wa shughuli za CPA Saa 7.30
Mchana – Saa 9.30 Alasiri
|
·
Wajumbe
·
Wajumbe
wa SADC – PF
·
Uongozi
wa CPA Tanzania
|
Ijumaa
23 Januari, 2015
|
Kupitia
rasimu ya utekelezaji wa shughuli za Kamati kwa kipindi cha 2014/2015
|
|
J/mosi –J/pili
24 –25 Januari, 2015
|
Kuelekea
Dodoma
|
Katibu
wa Bunge
|
TANBIHI: Vikao vyote
vitaanza saa 4.00 asubuhi
KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU
RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA
TAREHE 12 – 25 JANUARI, 2015
UKUMBI: BENKI KUU YA TANZANIA
SIKU/TAREHE
|
SHUGHULI
|
MHUSIKA
|
Jumatatu
12
Januari, 2015
|
· Kuwasili
Dar es Salaam
|
|
Jumanne
13
Januari, 2015
|
Shughuli za utawala na kupitia ratiba
|
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
Jumatano
14
Januari, 2015
|
·
Kikao cha pamoja kati ya Wizara ya
Uchukuzi na Wizara ya Fedha kuhusu Serikali kutokutoa Fedha asilimia 17 ya
gharama katika Viwanja vya Ndege vilivyo kwenye Bajeti ya Serikali
·
Kutembelea Reli
Assets Holding Company (RAHCO) na kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa
Miradi yake
|
·
Wajumbe
·
Wizara ya Uchukuzi
·
TAA
·
RAHCO
|
Alhamisi
15
Januari, 2015
|
Kutembelea Tanzania
Railways Limited (TRL) na kupokea Taarifa ya utekelezaji wa miradi yake
|
· Wajumbe
· Wizara
ya Uchukuzi
|
Ijumaa
16
Januari, 2015
|
Kutembelea Mamlaka ya Bandari
Tanzania na kupokea Taarifa ya Utekelezi wa Miradi yake
|
· Wajumbe
· Wizara
ya Uchukuzi
|
Jumamosi&Jumapili
17&18
Januari, 2015
|
MAPUMZIKO
YA MWISHO WA WIKI
|
WOTE
|
Jumatatu
19
Januari, 2015
|
· Kusafiri
kuelekea Arusha kwa Ndege
· Kutembelea
Uwanja wa Ndege wa Arusha na kupokea taarifa ya uendeshaji wa uwanja huo
· Kumsalimu
Mkuu wa Mkoa wa Arusha
|
·
Wajumbe
·
Wizara ya Uchukuzi
·
RAS
|
Jumanne
20
Januari, 2015
|
Kutembelea
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro na kupokea taarifa ya uendeshaji wa
Uwanja huo.
|
· Wajumbe
· Wizara
ya Uchukuzi
|
Jumatano
21
Januari, 2015
|
Kutembelea
Chuo Kikuu cha Sayansi cha Nelson Mandela na kupokea taarifa ya utekelezaji
na utendaji wa Chuo hicho
|
· Wajumbe
· Wizara
ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
|
Alhamisi
22
Januari, 2015
|
Kutembelea Tume ya Nguvu za
Atomiki Tanzania na kupokea taarifa ya utekelezaji na utendaji wa Tume hiyo.
|
· Wajumbe
· Wizara
ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
|
Ijumaa
23
Januari, 2015
|
· Kukagua
barabara ya Arusha- Namanga
· Kutembelea
za TEMESA – Arusha
· Kurejea
Dar es Salaam
|
· Wajumbe
· Wizara
ya Ujenzi
· Katibu
wa Bunge
|
Jumamosi na Jumapili
24-25
Januari, 2015
|
Kuelekea
Dodoma
|
Katibu
wa Bunge
|
TANBIH:
Vikao
na ziara zote zitaanza saa 3:00 Asubuhi
RATIBA
YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA
TAREHE 12 -25 JANUARI, 2015
UKUMBI: HAZINA
SIKU/TAREHE
|
SHUGHULI
|
MHUSIKA
|
Jumatatu
12 Januari, 2015
|
Kuwasili Dar es
Salaam
|
Katibu wa Bunge
|
Jumanne
13 Januari, 2015
|
Shughuli za Utawala na kupitia ratiba
|
· Wajumbe
· Sekretairieti
|
Jumatano
14 Januari, 2015
|
Kupokea na kujadili taarifa kuhusu Sera mpya ya
Sekta ya Mafuta na Gesi, pamoja na ushiriki wa wazawa katika sekta
hiyo.
|
· Wajumbe
· Wizara
ya Nishati na Madini
· Watendaji
wakuu wa Taasisi husika.
|
Alhamisi
15 Januari, 2015
|
Kupokea
na kujadili taarifa kuhusu hali ya Migodi ya Urani iliyopo Namtumbo, na makaa
ya mawe Mchuchuma, Liganga na Ngaka.
|
·
Wajumbe
·
Wizara ya Nishati na Madini
·
STAMICO
|
Ijumaa
16 Januari, 2015
|
Kupokea na kujadili taarifa kuhusu hali ya
Uzalishaji na Upatikanaji wa umeme nchini na hali ya kifedha ya TANESCO kwa
sasa.
|
· Wajumbe
· Wizara
ya Nishati na Madini
· TANESCO
|
Jumamosi
17-18 Januari, 2015
|
MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI
|
WOTE
|
Jumatatu
19
Januari, 2015
|
· Kupokea taarifa ya Shirika la maendeleo ya
Petrol Tanzania kuhusu ushirikiano wa kibiashara na STATOIL
· Kujadili na kutoa maoni katika Muswada wa Sheria
ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (Na.2) wa mwaka 2014
|
·
Wajumbe
·
Wizara
ya Nishati na Madini
·
TPDC
·
STATOIL
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
Jumanne
20 Januari, 2015
|
· Kupokea na kujadili taarifa kuhusu uendeshaji wa
Chuo Cha Madini, Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) na TMAA.
· Kupokea na kujadili taarifa kuhusu ufumbuzi wa
matatizo ya wachimbaji wadogo nchini.
|
·
Wajumbe
·
Wizara
ya Nishati na Madini
·
Chuo
cha Madini
·
GST
·
TMAA
·
STAMICO
|
Jumatano
21 Januari, 2015
|
· Kupokea na kujadili taarifa kuhusu tatizo la
ucheleweshaji wa tozo ya Mafuta kwa ajili ya miradi ya REA.
|
·
Wajumbe
·
Wizara
ya Nishati na Madini
·
Wizara
ya Fedha
·
EWURA
|
Alhamisi
22Januari, 2015
|
Kupokea na kujadili taarifa kuhusu uuzaji wa
hisa 50 katika Kampuni ya Tanzanite one
|
·
Wajumbe
·
Wizara
ya Nishati na Madini
·
STAMICO
|
Ijumaa
23 Januari, 2015
|
· Kupokea changamoto katika kusafirisha mitambo ya
Kuzalisha Umeme – Kinyerezi na maeneo mengine nchini.
· Kupitia rasimu ya taarifa ya utekelezaji wa
shughuli za Kamati kwa kipindi cha Januari 2014 – Januari 2015
|
·
Wajumbe
·
Wizara
ya Nishati na Madini
·
TPA
·
TRA
·
TANROADS
|
Jumamosi
23 Januari, 2015
|
Kuelekea
Dodoma
|
Katibu wa
Bunge
|
TANBIHI:
·
Vikao
vitaanza saa 3:00
asubuhi.
·
Chai saa
4:30 asubuhi.
KAMATI YA BUNGE YA HESABU
ZA SERIKALI
RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA TAREHE 05 HADI 24
JANUARI, 2015
UKUMBI: JUMA AKUKWETI
SIKU/TAREHE
|
SHUGHULI
|
MHUSIKA
|
Jumapili
4 Januari, 2015
|
Kuwasili Dar es Salaam
|
Katibu wa Bunge
|
Jumatatu
5 Januari, 2015
|
Shughuli za Utawala na
kupitia ratiba
|
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
Jumanne
6 Januari, 2015
|
Kuelekea Kilosa, Morogoro
|
· Wajumbe
· Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
· Msajili wa Hazina
|
Jumatano
7 Januari, 2015
|
Ukaguzi wa
Miradi ya RAHCO iliyopo Kilosa Morogoro.
|
· Wajumbe
· Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
· Msajili wa Hazina
· Mwenyekiti - Bodi ya RAHCO
|
Alhamisi
8 Januari, 2015
|
Wajumbe
kusafiri kuelekea Kilombero, Morogoro.
|
· Wajumbe
· Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
· Msajili wa Hazina
· Bodi ya RAHCO
|
Ijumaa
9 Januari, 2015
|
Ukaguzi wa
Mradi wa kuiwezesha Bodi ya Sukari kupata ardhi kwa ajili ya kuongeza
uzalishaji wa Sukari
Chanzo cha Fedha:
Program ya ASDP iliyo chini ya Wizara ya
Kilimo, Chakula na Ushirika
Mahali:
Ruipa, Kilombero
|
· Wajumbe
· Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
· Msajili wa Hazina
· Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika
|
Jumamosi
10 Januari, 2015
|
Kurejea Dar es Salaam
|
Katibu wa Bunge
|
Jumapili
11 Januari, 2015
|
MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI
|
Wote
|
Jumatatu
12 Januari, 2015
|
SIKUKUU
YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
|
|
Jumanne
13 Januari, 2015
|
·
Saa 4:00 Asubuhi
Kikao cha mashauriano na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabu za Serikali
·
Saa 8:00 Mchana
Kikao cha mashauriano na Msajili wa Hazina
|
· Wajumbe
· Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
· Msajili wa Hazina
|
Jumatano
14 Januari, 2015
|
Kujadili Hesabu za:-
·
Kampuni
ya Magazeti ya Serikali
·
Shirika
la Utangazaji Tanzania
|
· Wajumbe
· Msajili wa Hazina
· Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
· Bodi ya TSN na TBC
|
Alhamisi
15 Januari, 2015
|
Kujadili Hesabu
za Taarifa ya Ukaguzi Maalum wa Mamlaka ya Bandari Tanzania
|
· Wajumbe
· Msajili wa Hazina
· Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
· Bodi ya TPA
|
Ijumaa
16 Januari, 2015
|
Kujadili Hesabu za:-
·
Bodi ya Sukari Tanzania
·
Bodi ya
Korosho Tanzania
·
Mamlaka ya
Uendelezaji wa Bonde la Mto Rujifi (RUBADA)
|
· Wajumbe
· Msajili wa Hazina
· Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
· Bodi ya Sukari, Bodi ya Korosho na Bodi ya RUBADA
|
Jumamosi na Jumapili
17-18 Januari,15
|
MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI
|
Wote
|
Jumatatu
19 Januari, 2015
|
Kujadili Hesabu za Mamlaka ya Mapato Tanzania
|
· Wajumbe
· Msajili wa Hazina
· Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
· Kamishna Mkuu, TRA
|
Jumanne
20 Januari, 2015
|
·
Hesabu Jumuifu za Taifa
·
Kujadili Taarifa ya
Kamati ndogo ya Hesabu za Serikali kuhusiana na Ukusanyaji
mdogo wa kodi za Ardhi unaoikabili Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi
|
· Wajumbe
· Mhasibu Mkuu wa Serikali
· Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
· Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mali za Serikali
|
Jumatano
21 Januari, 2015
|
Kujadili Hesabu za:-
·
Wizara ya Kilimo,
Chakula na Ushirika – FUNGU 43
·
Shirika la Maendeleo ya
Petroli Tanzania (TPDC)
|
· Wajumbe
· Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
· Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha (kuhudhuria kikao cha kujadili Hesabu za Fungu 43)
· Mhasibu Mkuu wa Serikali
· Msajili wa Hazina
· Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mali za Serikali
· Bodi ya TPDC
|
Alhamisi na Ijumaa
22 - 23 Januari,
2015
|
Kupitia rasimu ya taarifa ya mwaka ya utekelezaji wa
shughuli za Kamati kwa mwaka 2014/2015
|
Wajumbe
|
Jumamosi na Jumapili
24-25 Januari, 2015
|
Kuelekea Dodoma
|
Katibu wa Bunge
|
TANBIHI:
·
Vikao vyote vitaanza saa 4:30 Asubuhi.
·
Tarehe 13 – 23 Januari, 2015 Vikao vyote vitafanyika ukumbi wa Juma
Akukweti, Ofisi Ndogo ya Bunge Dar es Salaam
·
Maafisa Masuuli waepuke kuambatana na Maafisa ambao hawatasaidia katika
kujibu hoja.
·
Vitabu viifikie Kamati siku 3 kabla ya siku ya kikao.
·
Kamati itajadili Hesabu zilizokaguliwa za mafungu mbalimbali zinazoishia
tarehe 30 Juni, 2013.
KAMATI YA BUNGE YA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA
MITAA
RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA TAREHE 12 – 25 JANUARI, 2015
UKUMBI: MAENDELEO YA JAMII
SIKU/TAREHE
|
SHUGHULI/MAHALI
|
MHUSIKA
|
JUMATATU
12 JANUARI, 2015
|
Kuwasili Dar es Salaam
|
· Katibu wa Bunge
|
JUMANNE
13 JANUARI, 2015
|
Shughuli za Utawala, Ofisi ya Bunge, Dar es
Salaam
|
· Wajumbe
· Sekretarieti
|
JUMATANO
14 JANUARI, 2015
|
Kundi
A - Kusafiri kuelekea Mkoa wa Lindi
Kundi
B – Kusafiri kuelekea Mkoa wa Kigoma
|
· Wajumbe
· Sekretarieti
· TAMISEMI
|
Kundi
A
Kumsalimu Mkuu wa Mkoa wa Lindi (Courtesy Call)
pamoja na kupokea Muhtasari wa Utekelezaji wa Shughuli za Maendeleo katika Mkoa wa Lindi
|
· Wajumbe
· TAMISEMI
· RC Lindi
· RAS Lindi
|
|
Kundi
B
Kumsalimu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma (Courtesy Call)
pamoja na kupokea Muhtasari wa Utekelezaji wa Shughuli za Maendeleo katika Mkoa wa Kigoma
|
· Wajumbe
· TAMISEMI
· RC Kigoma
· RAS Kigoma
|
|
ALHAMIS
15 JANUARI, 2015
|
Kundi A
Kupokea na kujadili Taarifa Kuhusu Utekelezaji
wa shughuli za Maendeleo katika Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
|
· Wajumbe
· TAMISEMI
· RAS Lindi
· Mkurugenzi Lindi
|
Kundi B
Kupokea na kujadili Taarifa Kuhusu Utekelezaji
wa shughuli za Maendeleo katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma
|
· Wajumbe
· TAMISEMI
· RAS Kigoma
· Mkurugenzi Kigoma
|
|
IJUMAA
16 JANUARI, 2015
|
Kundi A
Kupokea na kujadili Taarifa Kuhusu Utekelezaji
wa shughuli za Maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
|
· Wajumbe
· TAMISEMI
· RAS Lindi
· Mkurugenzi Kilwa
|
Kundi B
Kupokea na kujadili Taarifa Kuhusu Utekelezaji
wa shughuli za Maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu
|
· Wajumbe
· TAMISEMI
· RAS Kigoma
· Mkurugenzi Kasulu
|
|
JUMAMOSI
17 JANUARI, 2015
|
Kundi A
Kupokea na kujadili Taarifa Kuhusu Utekelezaji
wa shughuli za Maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
|
· Wajumbe
· TAMISEMI
· RAS Lindi
· Mkurugenzi Nachingwea
|
Kundi B
Kupokea na kujadili Taarifa Kuhusu Utekelezaji
wa shughuli za Maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza
|
· Wajumbe
· TAMISEMI
· RAS Kigoma
· Mkurugenzi Uvinza
|
|
JUMAPILI
18 JANUARI, 2015
|
MAPUMZIKO
|
· Wajumbe
|
JUMATATU
19 JANUARI, 2015
|
Majumuisho pamoja na Halmashauri za Mikoa ya
Lindi na Kigoma
|
· Wajumbe
· TAMISEMI
· Wakuu wa Mikoa
· Makatibu Tawala
· Halmashauri
|
JUMANNE
20 JANUARI, 2015
|
Kurejea Dar es Salaam
|
· Wajumbe
|
JUMATANO -IJUMAA
21 – 23 JANUARI,
2015
|
Kujadili Rasimu ya Taarifa ya Utekelezaji wa
Shughuli za Kamati kwa Mwaka 2014/2015
|
· Wajumbe
· Sekretarieti
|
JUMAMOSI
24 JANUARI, 2015
|
Kusafiri kuelekea Dodoma
|
· Wajumbe
|
KAMATI
YA UCHUMI, VIWANDA NA BIASHARA
RATIBA
YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA
TAREHE 12 - 25 JANUARI, 2015
UKUMBI: CEEMI
SIKU/TAREHE
|
SHUGHULI
|
WAHUSIKA
|
Jumatatu
12 Januari, 2015
|
·
Kuwasili
Dar es salaam
|
·
Katibu wa Bunge
|
Jumanne
13
Januari, 2015
|
·
Shughuli
za Utawala
·
Kupokea
taarifa ya uagizaji na uingizaji wa sukari nchini.
·
Taarifa
ya uuzaji wa sukari nchini
·
Taarifa
ya kodi iliyokusanywa kutokana na biashara ya sukari angalau miaka miwili
kuishia Disemba 2014.
|
·
Wajumbe
·
Wizara ya Fedha.
·
TRA
|
·
Kupokea
taarifa ya uzalishaji na uuzaji wa sukari ndani na nje ya nchi kutoka kwa
wenye viwanda vya sukari nchini
·
Kupokea
Taarifa ya uagizaji wa sukari nchini (angalau miaka 2 kuishia Desemba 2014)
|
·
Wajumbe
·
Wizara ya Viwanda
na Biashara
·
Wazalishaji wa
sukari nchini
·
Waagizaji wa
sukari kutoka nje ya nchi
|
|
Jumatano
14 Januari, 2015
|
·
Kikao
cha pamoja na Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji ili kuujadili Muswada
wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya
Stakabadhi Ghalani wa mwaka 2014 (The
Ware house receipts (Amendment) Bill, 2014)
|
· Wajumbe
· Waziri
Wizara ya Viwanda na Biashara
· Wizara
ya Kilimo, Ushirika na Chakula
· Ofisi
ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
|
Kutembelea Makao Makuu ya TBS:
· kupokea Taarifa ya mfumo mpya wa ukaguzi wa
bidhaa nje ya nchi kabla havijaletwa nchini.
· Kutembelea na kukagua maabara ya kisasa n.k
|
·
Wajumbe
·
Wizara ya Viwanda na Biashara
·
TBS
|
|
·
Kupokea taarifa
ya ukusanyaji wa mapato toka sekta ya madini (Changamoto zilizopo katika
mfululizo wa miaka mitano kuishia Desemba 2014)
·
Kupokea
majibu ya hoja zilizoibuliwa na TMAA na TEITI na jinsi zilivyo shughulikiwa
na TRA katika jitihada za kuongeza mapato ya serikali katika sekta ya madini
(2010-2013)
·
Kupokea taarifa ya usimamizi wa mikataba ya Gesi ili kujiridhisha na
usalama wa mapato ya taifa siku za usoni hususan mikataba ya ubia katika
uzalishaji wa Gesi (PSA).
|
· Wajumbe
· Wizara
ya Fedha
· Wizara
ya Nishati na Madini
· TRA
· TPDC
na TMAA
|
|
Alhamisi
15 Januari, 2015
|
Kikao cha pamoja na Kamati ya Bunge ya Kilimo,
Mifugo na Maji kwa ajili ya kupokea
maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Stakabadhi Ghalani wa mwaka
2014 (The Ware House Receipts (Amendment)
Bill, 2014)
|
·
Wajumbe
·
Wizara
ya Viwanda na Biashara
·
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa
Serikali
·
Wadau
mbalimbali
|
Ijumaa
16
Januari, 2015
|
·
Kupokea taarifa
ya ukusanyaji wa mapato ya Serikali kufikia Desemba 2014.
·
Kupokea
taarifa ya ukusanyaji mapato yanayotokana na makampuni ya mawasiliano (TIGO,
VODACOM, AIRTEL, TCCL, ZANTEL, n.k) – katika
mfululizo wa miaka 3 kuishia Desemba 2014.
·
Kupokea taarifa kuhusu Mgogoro wa kimkataba kati ya SHIVACOM na VODACOM (Contract for the production of
electronic recharge vouchers) na jinsi unavyochangia katika upotevu wa
mapato ya Serikali.
|
· Wajumbe
· Wizara
ya Fedha
· TRA
· TCRA
|
Jumamosi
17 Januari, 2015
|
Kupitia mkataba wa Liganga na Mchuchuma
|
·
Wajumbe
·
Wizara ya Viwanda na Biashara
·
NDC
|
Jumapili
18 Januari, 2015
|
Mapumziko
|
·
Wajumbe
|
Jumatatu
19 Januari, 2015
|
SEMINA kuhusu:
·
Mradi
wa SELF (Small European Loan Facility)
·
Tanzania
Micro Finance Association (TAMFI)
·
Sheria
ya Benki na Fedha
·
Sheria mpya ya mambo ya Saccos na Microfinance.
|
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
·
Wizara ya Fedha
·
TAMFI
·
SELF
|
Jumanne
20 Januari, 2015
|
Kupokea taarifa ya utekelezaji wa ushauri,
maagizo na maelekezo ya kamati kwa wizara ya viwanda na biashara wakati wa
kuwasilisha bajeti ya wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015.
|
·
Wajumbe
·
Wizara
ya Viwanda na Biashara
|
Jumatano
21 Januari, 2015
|
Kutembelea viwanda na kujionea fursa na
changamoto zilizopo:
· Murzah Oil (Kiwanda cha mafuta na sabuni)
· Quality centre group of companies
|
·
Wajumbe
·
Wizara
ya Viwanda na Biashara
·
Makampuni
husika
|
Alhamisi
22 Januari, 2015
|
Kupokea taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya:
· BRELLA,
· FCC
· WMA.
|
·
Wajumbe
·
Wizara
ya Viwanda na Biashara
·
Brella
·
FCC
·
WMA
|
Ijumaa
23 Januari, 2015
|
Kupokea taarifa ya utekelezaji ya Benki Kuu na kupokea majibu ushauri, maoni wa Kamati
wakati wa uwasilishaji wa bajeti ya Wizara ya Fedha na Uchumi kwa Mwaka wa
Fedha 2014/2015.
|
·
Wajumbe
·
Wizara
ya Fedha
·
Benki
Kuu
|
· Kutembelea viwanda na kujionea fursa na
changamoto zilizopo:
· Homeshopping centre
· MM steel industries (Kiwanda cha uzalishaji wa
nondo na mabati)
|
·
Wajumbe
·
Wizara
ya Viwanda na Biashara
·
Makampuni
husika
|
|
Jumamosi
24 Januari, 2015
|
·
Kutembelea
viwanda vya sukari vya Kilombero na Mtibwa.-Morogoro
·
Kutembelea
viwanda vya nguo vya (Mohammed enterprises Ltd)- Morogoro
|
·
Wajumbe
·
Wizara ya viwanda na biashara
·
Makampuni husika
|
Jumapili
25 Januari, 2015
|
Kuelekea Dodoma
|
Katibu wa
Bunge
|
TANBIHI:
·
Vikao vitaanza saa 3:00 asubuhi.
·
Chai saa 4:30 asubuhi.
KAMATI
YA BUNGE YA ULINZI NA USALAMA
RATIBA
YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA TAREHE 12 - 25 JANUARI, 2015
UKUMBI:
ERASTO
MANG’ENYA
SIKU/TAREHE
|
SHUGHULI
|
MHUSIKA
|
Jumatatu
12 Januari, 2015
|
Kuwasili Dar es salaam
|
Katibu
wa Bunge
|
Jumanne
13 Januari, 2015
|
Shughuli
za utawala na kupitia ratiba
|
· Wajumbe
· Sekretarieti
|
Jumatano
14 na 15 Januari, 2015
|
Kikao
cha pamoja na Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ili
kujadili Muswada wa Sheria ya Marekebisho
ya Sheria ya Uhamiaji, Sura ya 54
|
· Wajumbe
K/Mambo ya Nje na
· Wajumbe
K/Ulinzi
· Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi
· Mwanasheria
Mkuu
· Wadau
|
Ijumaa
16 Januari, 2015
|
·
Kupokea
na kujadili Taarifa ya Hali ya Ulinzi na Usalama nchini kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
·
Kujadili
Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Silaha na Risasi wa Mwaka 2014
|
· Wajumbe
· Waziri
wa Mambo ya Ndani
· Mwanasheria
Mkuu
|
J/Mosi
hadi J/Pili
17 – 18 Januari, 2015
|
MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI
|
Wote
|
Jumatatu
19 Januari, 2015
|
Kujadili
Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Silaha na Risasi wa Mwaka 2014
|
·
Wajumbe
·
Wizara ya Mambo ya Ndani
·
Mwanasheria Mkuu
·
Chama
cha Makampuni ya Ulinzi,
·
Makampuni binafsi ya ulinzi
·
Chama
cha Wawindaji,
·
Makampuni
ya Migodi Tanzania na Asasi zisizo za kiraia nchini
|
Jumanne
20 Januari, 2015
|
· Kupokea
na kujadili Taarifa ya Hali ya Ulinzi na Usalama nchini kutoka Wizara ya
Ulinzi na JKT.
· Kupokea
maoni wadau: TPDF, SUMA JKT, NGOME na Idara ya Usalama wa Taifa, kuhusu Muswada wa Sheria ya Usimamizi na
Udhibiti
wa
Silaha
na
Risasi
wa
Mwaka 2014
|
· Wajumbe
· Wizara
ya Mambo ya Ndani ya nchi
· Wizara
ya Ulinzi na JKT
· Idara
ya Usalama wa Taifa
|
Jumatano
21 Januari, 2015
|
Kuchambua
Maoni ya wadau na maelezo ya Serikali kuhusu Muswada wa Sheria ya Usimamizi na
Udhibiti
wa
Silaha
na
Risasi
wa
Mwaka 2014
|
· Wajumbe
· Wizara
ya Mambo ya Ndani ya nchi
· Mwanasheria
Mkuu
|
Alhamis
22 Januari, 2015
|
§ Kupokea
na Kujadili Taarifa ya Hali ya Ulinzi na Usalama nchini kutoka Ofisi ya Rais
Utawala Bora
§ Kupokea
maoni ya TIS kuhusu Ibara ya 66 hadi
68 za Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali, Na. 2 wa mwaka
2014 (Mapendekezo ya kurekebisha
Kifungu cha 4 na Kifungu cha 6 vya Sheria ya Baraza la Usalama la Taifa Sura
ya 266)
|
·
Wajumbe
·
Wizara ya Ulinzi na JKT
|
Ijumaa
23 Januari, 2015
|
Kupitia
Rasimu ya Taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Kamati kwa Mwaka 2014/2015
|
§ Wajumbe
§ Sekretarieti
|
J/Mosi
na J/Pili
24 – 25 Januari, 2015
|
Kuelekea
Dodoma
|
Katibu
wa Bunge
|
TANBIHI:
- Vikao vyote vitaanza saa 4.00 Asubuhi.
- Tarehe 14 na 15 kikao kitafanyika Ukumbi wa Pius Msekwa Ofisi Ndogo ya Bunge Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment