Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza kwenye uzinduzi wa Kampeni ya chukua hatua 2015 yenye
lengo la kutathmini matokeo ya Milenia ambayo yanafikia ukomo wake
Septemba mwaka huu na hivyo kuwa mwanzo wa kupanga malengo mapya baada
ya hayo. Uzinduzi huo uliambatana na Vijana wa Kitanzania waliozaliwa
mwaka 2000 ambao hivi sasa wana miaka 15 wakielezea nini wangetaka kuona
kiafanyika Tanzania kwa miaka 15 ijayo.
Mmoja
kati ya Vijana wenye umri wa miaka 15 walioshiriki kwenye uzinduzi wa
kampeni ya chukua hatua 2015 akimkabidhi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal zawadi kwenye
uzinduzi wa Kampeni ya chukua hatua 2015 yenye lengo la kutathmini
matokeo ya Milenia ambayo yanafikia ukomo wake Septemba mwaka huu na
hivyo kuwa mwanzo wa kupanga malengo mapya baada ya hayo. Uzinduzi huo
uliambatana na Vijana wa Kitanzania waliozaliwa mwaka 2000 ambao hivi
sasa wana miaka 15 wakielezea nini wangetaka kuona kiafanyika Tanzania
kwa miaka 15 ijayo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Afrika Global
Action Campeign 2015 Bi Sipho Moyo wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya
chukua hatua 2015 yenye lengo la kutathmini matokeo ya Milenia ambayo
yanafikia ukomo wake Septemba mwaka huu na hivyo kuwa mwanzo wa kupanga
malengo mapya baada ya hayo. Uzinduzi huo uliambatana na Vijana wa
Kitanzania waliozaliwa mwaka 2000 ambao hivi sasa wana miaka 15
wakielezea nini wangetaka kuona kiafanyika Tanzania kwa miaka 15 ijayo.
Baadhi
ya Vijana walioshirikia kwenye uzinduzi wa kampeni ya Chukua hatua 2015
wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Mohammed Gharib Bilal alipokua akizungumza kwenye uzinduzi wa
Kampeni hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hayyat Hotel Dar es salaam
jana. Ambapo lengo lake kutathmini matokeo ya Milenia ambayo yanafikia
ukomo wake Septemba mwaka huu na hivyo kuwa mwanzo wa kupanga malengo
mapya baada ya hayo. Uzinduzi huo uliambatana na Vijana wa Kitanzania
waliozaliwa mwaka 2000 ambao hivi sasa wana miaka 15 wakielezea nini
wangetaka kuona kiafanyika Tanzania kwa miaka 15 ijayo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal katikati akiwa katika picha ya pamo Baadhi ya Vijana walioshirikia
kwenye uzinduzi wa kampeni ya Chukua hatua 2015 iliyofanyika katika
ukumbi wa Hayyat Hotel Dar es salaam jana. Ambapo lengo lake kutathmini
matokeo ya Milenia ambayo yanafikia ukomo wake Septemba mwaka huu na
hivyo kuwa mwanzo wa kupanga malengo mapya baada ya hayo. Uzinduzi huo
uliambatana na Vijana wa Kitanzania waliozaliwa mwaka 2000 ambao hivi
sasa wana miaka 15 wakielezea nini wangetaka kuona kiafanyika Tanzania
kwa miaka 15 ijayo. (Picha na OMR).
No comments:
Post a Comment