Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,Mohd Gharib Bilali
kushoto akisalimiana na Balozi mdogo wa China alieko Zanzibar Mr.Xie
Yunliang katika ufunguzi wa Kituo cha Kompyuta cha Skuli ya Secondary ya
Kiembe Samaki mjini Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimiza miaka
51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,Mohd Gharib Bilal akikata
Utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Kompyuta cha Skuli ya Secondary
ya Kiembe Samaki mjini Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimiza miaka
51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,Mohd Gharib Bilal akipata
maelezo kuhusiana na Compyuta kwa Balozi mdogo wa china alieko Zanzibar
Mr.Xie Yunliang katika ufunguzi wa Kituo cha Kompyuta cha Skuli ya
Secondary ya Kiembe Samaki mjini Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za
kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,Mohd Gharib Bilal akitoa
hotuba katika ufunguzi wa Kituo cha Kompyuta cha Skuli ya Secondary ya
Kiembe Samaki mjini Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimiza miaka 51
ya Mapinduzi ya Zanzibar.kulia yake ni Balozi mdogo wa china alieko
Zanzibar Mr.Xie Yunliang na kushoto yake ni Waziri wa Elimu na Mafunzo
ya Amali Zanzibar Ali Juma Shamhuna.
Baadhi
ya Walimu na Wanafunzi waliohudhuria katika sherehe ya ufunguzi wa
Kituo cha Kompyuta cha Skuli ya Secondary ya Kiembe Samaki mjini
Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi ya
Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI.MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment