Biashara Zetu : Wafanyabiashara wa Soko la Vinyago (Maasai Market ) Wapewa Msaada wa Milioni 17 na FINCA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 6 January 2015

Biashara Zetu : Wafanyabiashara wa Soko la Vinyago (Maasai Market ) Wapewa Msaada wa Milioni 17 na FINCA

 Wafanyabiashara wa soko la vinyago  la Mount Meru Curio Craft maarufu kama
Masai Market wakishangilia baada ya kupatiwa kifuta machozi cha shilingi
milioni 17 na benki ya Finca ambayo pia iliwafutia mikopo kutokana na
kuteketea kwa moto kwa soko hivi karibuni .Kulia Meneja wa kanda wa benki
hiyo Moses Haule.Wapili kulia mstari wa nyuma ni Baraka Jekonia  Meneja wa
benki hiyo tawi la Arusha Meru.
 Wafanyabiashara wa soko la vinyago  la Mount Meru Curio Craft maarufu kama
Masai Market wakishangilia baada ya kupatiwa kifuta machozi cha shilingi
milioni 17 na benki ya Finca ambayo pia iliwafutia mikopo kutokana na
kuteketea kwa moto Hivi karibuni .Kulia Meneja wa kanda wa benki hiyo Moses
Haule
Wafanyabiashara wa soko la vinyago  la Mount Meru Curio Craft maarufu kama
Masai Market wakishangilia baada ya kupatiwa kifuta machozi cha shilingi
milioni 17 na benki ya Finca ambayo pia iliwafutia mikopo kutokana na
kuteketea kwa moto kwa soko hilo mwezi uliopita.Kulia Meneja wa kanda wa
benki hiyo Moses Haule.Picha na Ferdinand Shayo

No comments:

Post a Comment