Tahadhari : SUMATRA Yatahadharisha Wanaosafiri Kipindi cha Msimu wa siku za Mwisho wa Mwaka - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 4 December 2014

Tahadhari : SUMATRA Yatahadharisha Wanaosafiri Kipindi cha Msimu wa siku za Mwisho wa Mwaka


Katibu Mtendaji wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na Majini, Dk Oscar Kikoyo akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es salaam jana juu ya hali ya usafiri kipindi cha siku kuu za Krismas na mwaka mpya ambapo ametahadharishja abiria kuto kukubali kutozwa nauri za juu na pindi ikitokea hivyo Sumatra ipewe taarifa haraka.  Soma taarifa kamili hapa chini. Source Father Kidevu Blog.

NAURI HALALI ZA MABASI YA MIKOANI

No comments:

Post a Comment